youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,811
- 3,888
1. WAFANYABIASHARA WADOGO
Unauza nguo, viatu, chakula, vipodozi, electronics,👉 Kama unataka kuuza zaidi ya watu wa mtaa wako, unahitaji matangazo ya kulipia.
🟢 Ads zitakusaidia kufikia maelfu ya watu wanaohitaji bidhaa zako, unaweza kufanya hata bila kuwa na duka!
2. MACHINGA & MADALALI
Wewe unauza bidhaa mtaani au uko ukihangaika kutafuta wateja mguu kwa mguu👉 Matangazo ya kulipia ni kama "kupiga kelele kwenye simu ya mtu mtandaoni."
Unatuma picha ya bidhaa, Unaletewa wateja DM au WhatsApp moja kwa moja!
3. WAFANYABIASHARA WAKUBWA & MAKAMPUNI
Usidharau nguvu ya matangazo hata kama wewe ni mkubwa kiasi gani.Unataka kujulikana, unataka wateja wapya kila siku?
Tumia ads kufikisha huduma zako kwa watu sahihi kuliko washindani wako.
4. WANASIASA NA VYAMA VYA SIASA
Unaweza kutangaza agenda zako au kuonesha awareness kwa watu kupitia matangazo.Badala ya kulipa influencers wakutangaze, au vyombo vya habari, wewe lipia tu matangazo utaona maajabu.
5. TAASISI BINAFSI NA NGO
Unawakilisha NGO, taasisi, au shirika?👉 Ads inakusaidia kupata awareness na kupata wanachama, wanafunzi au donors wapya. Hii ni njia rahisi ya kujulikana kwa watu wengi.
6. WANAOTOA HUDUMA ZA MTANDAONI (Online Services)
Kama wewe ni graphic designer, copywriter, video editor, unatoa huduma, unauza product, consultation.🟢 Matangazo hayatakiwi kukatika
Unalenga watu walioko tayari kulipia huduma zako, Kama hauna cha kuuza utapata awareness
7. WANAOUZA DIGITAL PRODUCTS
Ebook, templates, courses, software, CV samples, n.k.Product yoyote ile Tumia ads kuzifikisha kwa watu sahihi
Internet pays those who show up everyday
📦 You just need one good ad.
8. WANAOTEGEMEA WATU KUPATA PESA
(Referral / Affiliate / Dropshipping / Betting) Una promote link za watu? Unaingiza pesa kwa kuleta wateja kwa wengine?🟢 Hakuna njia bora kama ads! Unaweka ad, watu wanabonyeza link zako, au unawaleta kwenye groups zako.
9. WANAOANZISHA BIASHARA MPYA
Kama unajaribu kuanza biashara na hujulikani bado?👉 Matangazo yatakusaidia kujenga jina, brand, na kujiweka tofauti mapema sana!
10. WANAOJENGA BRAND BINAFSI (Personal Brands)
Influencer, content creator, Social media manager, mtu yeyote menye kipaji au new skill.👉 Matangazo yatakujengea jina na kukuza followers kwa haraka
Organic inaleta wateja taratibu sana.
Kama una huduma, bidhaa, biashara au unahitaji pesa kupitia watu. Jaribu MATANGAZO YA KULIPIA.
👉 Tunakufanyia na kutengeneza, kusimamia na kufanikisha MATANGAZO YA KULIPIA na kukuletea wateja kwenye biashara yako kupitia Victoria Agency Company.
📞 Tuma ujumbe WhatsApp sasa: ➡️ Share on WhatsApp
Tutakutengenezea tangazo kwa bajeti ndogo na matokeo makubwa.