Nashukuru mkuuSUBWOOFER ni kwa low budget!
Choice nzuri na Brand ya kuaminika ni Sea Piano, toleo nililonalo ni ile kubwa ya 150k nilinunuaga 2014 mpaka muda huu napiga ngoma hapa na inakita balaa haijawahi sumbua linachoka kasha tu ila mziki uko makini!
HOME THEATRE KWA BUDGET NZURI
Living Room kuna home theatre ya SONY DAV-DZ650 nayo ikiwakaga ni kesi tu kwa majirani, ila bei yake imependeza kama una walau 700k pasuka uchukue ni watts1000! Au yenye spika ndogo ile 580,000!
Umeuaa mkuuuSUBWOOFER ni kwa low budget!
Choice nzuri na Brand ya kuaminika ni Sea Piano, toleo nililonalo ni ile kubwa ya 150k nilinunuaga 2014 mpaka muda huu napiga ngoma geto hapa na inakita balaa haijawahi sumbua linachoka kasha tu ila mziki uko makini!
HOME THEATRE KWA BUDGET NZURI
Living Room kuna home theatre ya SONY DAV-DZ650 nayo ikiwakaga ni kesi tu kwa majirani, ila bei yake imependeza kama una walau 700k pasuka uchukue ni watts1000! Au yenye spika ndogo ile 580,000!
Budget Ndiyo TatizoSONY
SAMSUNG
Panasonic
Mambo ya laki moja na nusu yatakuletea stress.
SUBWOOFER ni kwa low budget!
Choice nzuri na Brand ya kuaminika ni Sea Piano, toleo nililonalo ni ile kubwa ya 150k nilinunuaga 2014 mpaka muda huu napiga ngoma geto hapa na inakita balaa haijawahi sumbua linachoka kasha tu ila mziki uko makini!
HOME THEATRE KWA BUDGET NZURI
Living Room kuna home theatre ya SONY DAV-DZ650 nayo ikiwakaga ni kesi tu kwa majirani, ila bei yake imependeza kama una walau 700k pasuka uchukue ni watts1000! Au yenye spika ndogo ile 580,000!
Yeah hakika kabisa, Hi-Fi system zinacheza channel mbili tu ama 2.1 ama stereo channels. Left and Right (mids & highs) pamoja Bass(Lows) ambazo ni mahususi kwa audio contents kama muziki! Home theatre zinacheza kuanzia channel 5.1 hali kadhalika 7.2 ama 9.2Hivi mkuu una idea yoyote kuhusu hili,kuna madai kwamba home theatre ni special kwa kuangalizia movies huku muziki Hi-Fi ndo iko recommended,kwamba mziki ukiupiga kwenye home theatre kuna vionjo utakuwa huvipati same ukiangalia movie kwa Hi-Fi vinakosekana vitu...
Hapa una maoni gani mzee!
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
kwa maoni yangu hizo ni mbwembwe tu. HiFi ni kipimo cha ubora wa spika na spika zake ni ghali sana. hizi zipo kwenye brand za gharama kama Bose na klipsch . unaweza pata hometheatre yenye spika hifi.Hivi mkuu una idea yoyote kuhusu hili,kuna madai kwamba home theatre ni special kwa kuangalizia movies huku muziki Hi-Fi ndo iko recommended,kwamba mziki ukiupiga kwenye home theatre kuna vionjo utakuwa huvipati same ukiangalia movie kwa Hi-Fi vinakosekana vitu...
Hapa una maoni gani mzee!
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Yeah hakika kabisa, Hi-Fi system zinacheza channel mbili tu ama 2.1 ama stereo channels. Left and Right (mids & highs) pamoja Bass(Lows) ambazo ni mahususi kwa audio contents kama muziki! Home theatre zinacheza kuanzia channel 5.1 hali kadhalika 7.2 ama 9.2
Kuhusu muziki kuupigia kwenye hometheatre quality ya muziki ama vionjo utavipata vizuri tu given kwamba hometheatre husika imekuwa optimized kutenganisha channels kulingana na mahitaji yako, maana hometheatre ina combination ya channels zote, Front, Center, Rear bila kusahau bass ama low frequency channel.
Za Front ndio za Stereo ama Music pia kuna hio Center kwa ajili ya dialogues na za Rear kwa ajili ya movie effects kama bomu, radi, upepo kulingana na scenes huitwa sorround soeakers. Bass inatoa sauti ambazo ziko chini sana ya upeo wa mwanadamu kuzitambua hivyo inasikika kama ngurumo tu.
Hivyo kwa kuhitimisha ukiangalia movie kwenye Hi-Fi system hutapata manjonjo yote kama endapo ungeangalizia movie hio katika hometheatre. Sababu ni kwamba channel zitakuwa overlapped maana vyote vitalazimishwa kusikika kwenye stereo channels (Front Left & Front Right) which is less fun!
Ila kinyume chake kusikiliza nyimbo kwenye Home Theatre unaweza pata manjonjo kama ilivyokusudiwa kwa sababu vionjo vya muziki vinaandaliwa kusikika katika Stereo Channels na bass. Cha kufanya set hometheatre yako kwenye stereo sound mode itapiga speaker mbili tu kama Hi-Fi System.
Drawback ni kwamba hometheatre inaweza isiwe very loud kama Hi-Fi system.
NB: Channel ninamaanisha speakers!
kwa maoni yangu hizo ni mbwembwe tu. HiFi ni kipimo cha ubora wa spika na spika zake ni ghali sana. hizi zipo kwenye brand za gharama kama Bose na klipsch . unaweza pata hometheatre yenye spika hifi.
Usiskize maneno ya kishabiki! Hometheatre ni zaidi ya Hi-Fi kwa ufanisi. Nakurahisishia Chaguo.Kwa hiyo wakuu hapa tunaweza tukahitimisha kwa kusema kwamba Home Theatre inaweza kuwa the best siyo?
Nataka ninunue moja wapo wa hivi vitu ila mtaani kelele nyingi sana kila mtu anajikuta mtaalam huyu ananiambia hivi huyu ananiambia vile alimradi sijui nishike la nani niache la nani ila napendezewa sana na home theatre.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
kwa maoni yangu hizo ni mbwembwe tu. HiFi ni kipimo cha ubora wa spika na spika zake ni ghali sana. hizi zipo kwenye brand za gharama kama Bose na klipsch . unaweza pata hometheatre yenye spika hifi.
Nimejibu kwa uelewa wangu mkuu. kwamba hifi si aina ya audio system kama ilivyo home theatre ni kipimo cha ubora wa sauti. hata home theatre zinaweza toa hifi sound.Mkuu kama kitu hujui ni busara kukaa kimya, hii kitu gani umeongea hapa? ππππ