Ni aina ipi ya sub woofer ni nzuri?

Ni aina ipi ya sub woofer ni nzuri?

Hii kitu Unaweza kupewa notice na wenye nyumba
FB_IMG_1676819122879.jpg
 
subwoofer langu seapiano ni HI-FI maana yake ni high fidelity sijui nyinyi mnaongea nini? high fidelity ni uwezo wa speaker kureproduce sauti katika ubora wa hali ya juu , me subwoofer langu linaipita hata subwoofer zingine za sony za bei kubwa sana , nafahamu technology kama dobly atmos au dts ambazo hutumika katika 3D sound , lakini technology hii bongo bado sana labda mpaka upate content zinazoweza kutumia hiyo technology na mara nyingi technology hizo zinapatikana kwenye movies tena sio movie za kawaida ni zile za kununua ambazo unakuta zimeandikwa 3D sound supported au dobly atmos lakini hakuna tofauti yoyote na subwoofer yenye HI-Fi kama utakuwa unapiga nyimbo za kina daimond na dogo aslay labda upate nyimbo za kwenye album ambazo zimetengenezwa special kwa technology hiyo na mziki wako uwe una support.

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi unajua subwoofer ni low for low frequency yani bass. so subwoofer inatakiwa iendane na speaker nyingine sterio
 
View attachment 1951250
Sp-1002 ndio model yake

2.1 channel
Hi itakua jibu lako
Mashine ina 2ohms bass speaker
Hi ni full digital
Ina LINE IN
BLUETOOTH
MP3 PLAYER
FM RADIO
EQULIZER
Ili idumu muda mrefu fanya yafuatayo
1 usichajie simu sehemu ya frash
2 usiruhusu mende kuingia ndani
3 panya wasiingie ndani hua wanakula speaker
4 usipige muda mrefu ikiwa sauti mwisho
(Yaan masaa6,7) mala kwa mala
Usiongeze speaker zingine zaidi ya zile ilizokuja nazo
Faida yake n kua full digital operations
Pia ina muonekano bomba wakupendeza
Musiywake n kubwa mzito wa radha
Ikiharibika huitaji kutengeneza kitu[emoji23]
Ndani ina ramani mbili tu
1transfoma
2 amplifier
Ambazo ikiungua tansfoma utanunua utapachika tu
Sawa na amp pia unanunua unapachika tu kama kawaida
mpaka leo watu mnaishi nyumba ina panya kweli
 
Back
Top Bottom