Ni aina ipi ya sub woofer ni nzuri?

Ni aina ipi ya sub woofer ni nzuri?

View attachment 1951250
Sp-1002 ndio model yake

2.1 channel
Hi itakua jibu lako
Mashine ina 2ohms bass speaker
Hi ni full digital
Ili idumu muda mrefu fanya yafuatayo
1 usichajie simu sehemu ya frash
2 usiruhusu mende kuingia ndani
3 panya wasiingie ndani hua wanakula speaker
4 usipige muda mrefu ikiwa sauti mwisho
(Yaan masaa6,7) mala kwa mala
Usiongeze speaker zingine zaidi ya zile ilizokuja nazo
Faida yake n kua full digital operations
Pia ina muonekano bomba wakupendeza
Musiywake n kubwa mzito wa radha
Ikiharibika huitaji kutengeneza kitu[emoji23]
Ndani ina ramani mbili tu
1transfoma
2 amplifier
Ambazo ikiungua tansfoma utanunua utapachika tu
Sawa na amp pia unanunua unapachika tu kama kawaida
Hii ina bluetooth
 
Acha na hizo mkuu mzigo huu hapa zik mkubwa sana
Screenshot_20210929-201528_Chrome.jpg
 
View attachment 1951250
Sp-1002 ndio model yake

2.1 channel
Hi itakua jibu lako
Mashine ina 2ohms bass speaker
Hi ni full digital
Ili idumu muda mrefu fanya yafuatayo
1 usichajie simu sehemu ya frash
2 usiruhusu mende kuingia ndani
3 panya wasiingie ndani hua wanakula speaker
4 usipige muda mrefu ikiwa sauti mwisho
(Yaan masaa6,7) mala kwa mala
Usiongeze speaker zingine zaidi ya zile ilizokuja nazo
Faida yake n kua full digital operations
Pia ina muonekano bomba wakupendeza
Musiywake n kubwa mzito wa radha
Ikiharibika huitaji kutengeneza kitu[emoji23]
Ndani ina ramani mbili tu
1transfoma
2 amplifier
Ambazo ikiungua tansfoma utanunua utapachika tu
Sawa na amp pia unanunua unapachika tu kama kawaida
Ahsante kwa elimu hii. Bei yake ni Tanzania shilingi ngapi, na kuna fake na original...?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1951250
Sp-1002 ndio model yake

2.1 channel
Hi itakua jibu lako
Mashine ina 2ohms bass speaker
Hi ni full digital
Ili idumu muda mrefu fanya yafuatayo
1 usichajie simu sehemu ya frash
2 usiruhusu mende kuingia ndani
3 panya wasiingie ndani hua wanakula speaker
4 usipige muda mrefu ikiwa sauti mwisho
(Yaan masaa6,7) mala kwa mala
Usiongeze speaker zingine zaidi ya zile ilizokuja nazo
Faida yake n kua full digital operations
Pia ina muonekano bomba wakupendeza
Musiywake n kubwa mzito wa radha
Ikiharibika huitaji kutengeneza kitu[emoji23]
Ndani ina ramani mbili tu
1transfoma
2 amplifier
Ambazo ikiungua tansfoma utanunua utapachika tu
Sawa na amp pia unanunua unapachika tu kama kawaida
Hapo kwenye kutoungia mende kwa mazingira yetu ndio kazi ilipo.
 
Kwangu Nina woofer seapiano like bass Tu Lina 60 volume. Nikanunua Kwa mtu kile ki sound bar bila bass yake kulikuwa cha LG sasa nakitumia kama tweeter maana yake Kila kitu nafanyia kwenye hicho ki sound bar kule kwenye seapiano bass inapata sauti toka huku kwny sound bar yaani Ile seapiano ndo nmeifanya Kuwa mbadala WA bass ya sound bar zle tweeter za seapiano niliuza maana hazina hata mvuto nawaambia mzk mzto ninaopata hapa ni hatari ya tsunamia nahisi hzi sound bar haztendewi haki zile bass ZAKE na nmegundua sound bar haitofautiani Sana kimfumo na subwoofer sema sound bar ina vikorombwezo vingi Ila mfumo ni uleule Tu Tofauti nyngn niliyoona sound bar tweeter ina amplifier yake na ndiyo infants Kila kitu wakati pia bass yake ina booster yake otherwise mengne kawaida Sana aisee
 
Hapo jiandae kuingia dukani kutafta a.c za tweeter mkuu, mana sio mda zitakufa
 
Swali lako lipo jumla Sana(general question) ijapokuwa wengi wamekibu swali lako kwa mlengo mmoja.

Neno subwoofer ni KIASHIRIA Cha aina ya speaker inayo fikia kiwango Cha sauti Yani herts(Hz) kuanzia 15 Hadi 250. Hii huitwa bass speaker Yani spika ya sauti ya chini(lower frequence) Sasa HIZI spika huunganishwa Katika mfumo wa sauti ya chombo HUSIKA(redio) hapo UTAKUTA Kuna

1.subwoofer(spika ya sauti za chini/bass) kuanzia hz15-250Hz
2.woofer(spika ya sauti ya Kati/mid frequence sp) kuanzia 250Hz-500Hz
3.tweeter(spika ya sauti za juu/upper frequence sp)kuanzia 500Hz-20000KHz.

Hivyo chombo chenye mkusanyiko wa mfumo wa sauti ndio tunaita (redio) ambayo UTAKUTA inamfumo huo wa 3way speaker system(bass, mid, tweeter)

Sasa hapo NDIPO wengi wamelivamia swali ijapokuwa mazoea yamefanya wengi kulijadili kwa upande wa aina ya redio badala ya kujadili kuhusu aina gani ya spika inayozalisha sauti za chini kwa uzuri zaidi (nahisi hata muuliza swali hakulenga jibu langu Ila nimelichakata kwa faida ya wengi)
Hivyo seapiano sijui aborda hizo ni redio.

Ushauri wa Bure kwa wale wapenda Mziki 👇
Achana na redio mlizozoea KUZIITA subwoofer hazikupi majibu sahihi ya maswali yako juu ya kupata sound nzuri , Cha kufanya jichange nunua Vifaa hivi.
1.kama redio unayo sio shida hapa redio yeyote itafaa kuungwa ISPOKUWA redio mziitazo subwoofer usiunge mfumo ntakaoshauri,
2.nunua subwoofer speaker mbili za gari mfano pioneer, JBL zenye watts 400 RMS(1400pmpo watts)
3.nunua booster/amplifier Kama Boschmann yenye watts 1600w 4 channels
4.nunua equolizer na crossover
5.unaweza kuongezea mid speaker mbili za watts400 kila moja,
6.mtafute fundi MZURI wa kutengeneza box azitengenezee box zile subwoofer mbili ziwe ktk box moja na atengeneze box mbili za zile mid speaker mbili
7.nunua transformer la 12voltage au nunua power supply ili kubadili mfumo wa umeme wa AC kuwa DC ili iyo booster itakayosukumu izo subwoofer iwe na uwezo.
8.mshirikishe fundi wa Mziki wa gari akusaidie hapo nyumbani , Kisha ukimaliza kwa hakika utaongeza ugeni wa majirani Kuja kusikiliza sound , ni balaa Mziki mzito na ni deep bass, we fikiria izo mziitazo subwoofer moja unainunua kwa laki moja au elfu80 au 150 wakati iyo laki moja na hamsini ni Bei ya kununua spika moja ya bass yenye ukubwa wa 12"inch wakati redio za kichina spika yake ni 6" inch na watts ni 50/80 au 100 wakati ikiwa na subwoofer speaker hizo mbili kwa jumla una gonga watts800 kwa pamoja, Sasa jiukizeni ninani atapata mdundo ule deep... Fanyeni maujanja hayo Cha msingi Anza kununua speaker za bass kabla ya CHOCHOTE ili zikusaidie Kujua ni aina gani ya booster uichukue, spika za gari hua Zina 4ohm usijenunua spika za nyumbani za 6ohm au 8ohm,nendeni maduka ya Vifaa Vya magari.

NB. Vifaa vyote hivyo Kama unaredio, basi hapo lengo nikupata bass halisi hivyo Kama redio yako Ina mid nzuri zitaendelea kutumika kutokana na redio hiyo hiyo Ila hapo kinachofanyika ni KUTOA waya ktk output ili booster ya gari ipokee full range frequence Kisha iyo booster izisukume subwoofer hizo mbili KWAAJILI ya kupata bass zito . Ushauri nicheki kwa 0654411800 nipo Dar-mbagala
 
Subwoofer yenye bass kubwa niile inayokokotoa Hz kuanzia 20 Hadi 250 Hz na zenye RMS watts kuanzia 400 , tafuta pioneer, JBL, JL , Kenwood, Skar, za ukubwa wa inch12 au 15 tafuta booster nzuri kazi kwako.

Izo mnazoziita subwoofer ni redio, subwoofer ni kitambulisho Cha aina ya spika inayokokotoa Hz kuanzia 15 Hadi 250. Woofer kuanzia 250 Hadi 500(mid spika) na tweeter kuanzia 500hz Hadi 20000khz. Hivyo hizo sijui seapiano, aborda ni aina za redio(kifaa kilichokusanya mfumo huo WA umeme wa sauti).
 
Swali lako lipo jumla Sana(general question) ijapokuwa wengi wamekibu swali lako kwa mlengo mmoja.

Neno subwoofer ni KIASHIRIA Cha aina ya speaker inayo fikia kiwango Cha sauti Yani herts(Hz) kuanzia 15 Hadi 250. Hii huitwa bass speaker Yani spika ya sauti ya chini(lower frequence) Sasa HIZI spika huunganishwa Katika mfumo wa sauti ya chombo HUSIKA(redio) hapo UTAKUTA Kuna

1.subwoofer(spika ya sauti za chini/bass) kuanzia hz15-250Hz
2.woofer(spika ya sauti ya Kati/mid frequence sp) kuanzia 250Hz-500Hz
3.tweeter(spika ya sauti za juu/upper frequence sp)kuanzia 500Hz-20000KHz.

Hivyo chombo chenye mkusanyiko wa mfumo wa sauti ndio tunaita (redio) ambayo UTAKUTA inamfumo huo wa 3way speaker system(bass, mid, tweeter)

Sasa hapo NDIPO wengi wamelivamia swali ijapokuwa mazoea yamefanya wengi kulijadili kwa upande wa aina ya redio badala ya kujadili kuhusu aina gani ya spika inayozalisha sauti za chini kwa uzuri zaidi (nahisi hata muuliza swali hakulenga jibu langu Ila nimelichakata kwa faida ya wengi)
Hivyo seapiano sijui aborda hizo ni redio.

Ushauri wa Bure kwa wale wapenda Mziki 👇
Achana na redio mlizozoea KUZIITA subwoofer hazikupi majibu sahihi ya maswali yako juu ya kupata sound nzuri , Cha kufanya jichange nunua Vifaa hivi.
1.kama redio unayo sio shida hapa redio yeyote itafaa kuungwa ISPOKUWA redio mziitazo subwoofer usiunge mfumo ntakaoshauri,
2.nunua subwoofer speaker mbili za gari mfano pioneer, JBL zenye watts 400 RMS(1400pmpo watts)
3.nunua booster/amplifier Kama Boschmann yenye watts 1600w 4 channels
4.nunua equolizer na crossover
5.unaweza kuongezea mid speaker mbili za watts400 kila moja,
6.mtafute fundi MZURI wa kutengeneza box azitengenezee box zile subwoofer mbili ziwe ktk box moja na atengeneze box mbili za zile mid speaker mbili
7.nunua transformer la 12voltage au nunua power supply ili kubadili mfumo wa umeme wa AC kuwa DC ili iyo booster itakayosukumu izo subwoofer iwe na uwezo.
8.mshirikishe fundi wa Mziki wa gari akusaidie hapo nyumbani , Kisha ukimaliza kwa hakika utaongeza ugeni wa majirani Kuja kusikiliza sound , ni balaa Mziki mzito na ni deep bass, we fikiria izo mziitazo subwoofer moja unainunua kwa laki moja au elfu80 au 150 wakati iyo laki moja na hamsini ni Bei ya kununua spika moja ya bass yenye ukubwa wa 12"inch wakati redio za kichina spika yake ni 6" inch na watts ni 50/80 au 100 wakati ikiwa na subwoofer speaker hizo mbili kwa jumla una gonga watts800 kwa pamoja, Sasa jiukizeni ninani atapata mdundo ule deep... Fanyeni maujanja hayo Cha msingi Anza kununua speaker za bass kabla ya CHOCHOTE ili zikusaidie Kujua ni aina gani ya booster uichukue, spika za gari hua Zina 4ohm usijenunua spika za nyumbani za 6ohm au 8ohm,nendeni maduka ya Vifaa Vya magari.

NB. Vifaa vyote hivyo Kama unaredio, basi hapo lengo nikupata bass halisi hivyo Kama redio yako Ina mid nzuri zitaendelea kutumika kutokana na redio hiyo hiyo Ila hapo kinachofanyika ni KUTOA waya ktk output ili booster ya gari ipokee full range frequence Kisha iyo booster izisukume subwoofer hizo mbili KWAAJILI ya kupata bass zito . Ushauri nicheki kwa 0654411800 nipo Dar-mbagala
wazee wa svs tunacomment wapi
 
Mtu akisifia subwoofer huwa nashangaa sana basi nisameheni tu, hakuna subwoofer hata moja inayofikia radio ya mtumba mfano sony kenwood technics nk, hicho ki option cha bluetooth siku hizi vina adiwa tu na unapata mziki mzito wenye kueleweka.
 
hzo ni unazosemea ni hifi music system mzee ndo special for music listening.
 
Back
Top Bottom