Ni ajabu sana: Wanapiga kelele za Reform, lakini mioyo yao haijawahi kufanyiwa Reform!

Lala hujui Lolote kuhusu Siasa.

#No reforms no election
Sleep? Far from it. I am awake where it matters most. For it is written: 'Let us not be like others, who are asleep, but let us be awake and sober.' (1 Thes 5:6). Some stay alert to politics—others to eternity.
 
WE MSENGE HAKUNA ANAYEPIGA KELELE TUNATETEA VIZAZI VYETU MBWA WEEE
 
Wewe uliyeandika hii una upendo kweli? Kama una busara na hekima muombe Mungu wako akusamehe kwa kutoa maneno yake kama ibilisi.

Tubu na uombe toba kilio cha watanzania sio mchezo kitarudi kwako. Tukuachie wewe utekaji na kuuwawa kwa raia katika familia yako.

Umeandika mwenyewe sisi tujikomboe katika mikono ya shetani.

Mungu uliyemtaja na watanzania wanaolilia ndugu zao waliotekwa na kuuwawa umalizane nao.

Wewe tetes upuuzi kama anavyosema msemaji wa serikali asante
 
 
WE MSENGE HAKUNA ANAYEPIGA KELELE TUNATETEA VIZAZI VYETU MBWA WEEE
SI unaona? Niliyosema ni kweli tupu. Mtu anamlaumu mwenzake kuwa ni muovu wakati yeye mwenyewe amejaa chuki na matusi. Jitakase kwanza kabla ya kuwanyoshea kidole wengine.
 
Mungu ameniagiza niseme ukweli aliousema Yesu: "Asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia mawe..."
Kwahyo Mungu wako anahalalisha yale yanayotokea nchini, ya watu kutekwa na kuuawa kuwa ni sawa eti kisa tu kwakuwa sisi wengine tuna dhambi?

hawezi kuwa mungu wa haki.
 
kwa mtazamo wangu suala la mungu ni la mtu bjnafsi. halafu wewe unapotaka watu wafanyiwe reforms ndani ya mioyo yao je, ndilo jibu sahihi la matatizo ya hali mbaya ya kiuchumi, kisiasa na hata kimaadili tusumbuayo kwa sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…