Wewe ni ibilisii kabisa. Nyingi ndio ulioandikwa kwenye biblia Mungu alimuuliza shetani umetoka wapi shetani akasema nimetoka duniani kutafuta marafiki.Mungu ameniagiza niseme ukweli aliousema Yesu: "Asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia mawe..."
It is not misuse of Scripture to echo the very words of Christ: ‘First take the plank out of your own eye, and then you will see clearly to remove the speck from your brother’s eye.’ (Matthew 7:5). If that offends the self-righteous, then perhaps the mirror is too honest.Unatumia maandiko ya biblia vibaya,hata shetani hutumia maandiko, we ni mjumbe wa shetani
Na Mungu huyohuyo anasemaje juu ya watawala kuwadhulumu uhai watawaliwa?Mungu hafurahii tunapoinua mawe kutaka kuwapiga tunaowatuhumu kuwa ni wenye dhambi wakati sisi wenyewe tunafanya dhambi hizo hizo. Kama wewe ni msomaji wa Biblia utakuwa unakumbuka kisa cha wale watu waliomfumania mwanamke katika uzinzi. Walimshitaki kwa Yesu na kusema kwamba anastahili kupigwa mawe kulingana na Torati yao. Angalia jinsi Yesu alivyowajibu:
Yohana 8:7 BHN
Walipozidi kumwuliza, Yesu akainuka, akawaambia, “Mtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga jiwe.".. Waliposikia hivyo, wakaanza kutoweka mmojammoja, wakitangulia wazee. Yesu akabaki peke yake, na yule mwanamke amesimama palepale.
Mimi sitetei udhalimu. Nachosema ni kwamba kabla mtu hajainua mawe ili kumtupia anayemtuhumu kuwa ni dhalimu ahakikishe kwanza moyoni mwake hana doa. Mbele za Mungu sio haki mwizi amwambie mwizi mwenzake: "usiibe."Na Mungu huyohuyo anasemaje juu ya watawala kuwadhulumu uhai watawaliwa?
Si unaijua? Wewe umeandika nini kama huijui? Wewe tapeli wa biblia.Biblia gani hiyo inayokuambia shetani anatafuta marafiki.
Unao uwezo wa kusoma yaliyomo ndani ya mioyo ya wengine hata useme hawastahili kuwakosoa wenzao?Mimi sitetei udhalimu. Nachosema ni kwamba kabla mtu hajainua mawe ili kumtupia anayemtuhumu kuwa ni dhalimu ahakikishe kwanza moyoni mwake hana doa. Mbele za Mungu sio haki mwizi amwambie mwizi mwenzake: "usiibe."
Yamjazayo mtu moyoni ndiyo yamtokayo. Ukiona mtu anatukana, ujue moyo wake ni mchafu tu.Unao uwezo wa kusoma yaliyomo ndani ya mioyo ya wengine hata useme hawastahili kuwakosoa wenzao?
Lkn pia, ktk muktadha wa unachoserma. Unachomahanisha ni kuwa si sahihi kukanyana na kuonyana sisi kwa sisi.
Unasonona... Tafuta Mume akupumzishe kulala onlineUlitaka nikutie moyo wakati naona wazi njia uliyoichagua ni ile iendayo upotevuni?
Ukimaliza kuomba nikabidhi sadaka.Tuombe:
Ee Mungu Baba, nimetambua mimi ni mwenye dhambi. Nimekuwa wa kwanza kuwakosoa wengine, bila kujiangalia kwanza moyo wangu. Leo nakuja mbele zako nikiomba msamaha wako. Natubu dhambi zangu zote na kuziacha. Nakiri kuwa Yesu Kristo ni Bwana, na Yeye ndiye Mwokozi wa ulimwengu. Yesu karibu moyoni mwangu utawale maisha yangu kuanzia leo. Nipatie moyo mpya, nifanyie 'reform' ya kweli ndani yangu. Naomba unipe nguvu ya kushinda dhambi na kuishi maisha matakatifu. Asante Yesu kwa kuniokoa. Katika Jina la Yesu Kristo, ninaomba na kushukuru. Amen.
Kwa mantiki hii hakuna mwenye haki ya kuhubiri na kukanya wenzake dhidi ya kutenda dhambi kwa sababu hakuna binadamu ambaye moyoni mwake hana doa. Yaani tukae kimya tu na tuache uovu ushamiri kwa sababu tu tuna madoa mioyoni mwetu. Huu ni ushauri wa hovyo.Mimi sitetei udhalimu. Nachosema ni kwamba kabla mtu hajainua mawe ili kumtupia anayemtuhumu kuwa ni dhalimu ahakikishe kwanza moyoni mwake hana doa. Mbele za Mungu sio haki mwizi amwambie mwizi mwenzake: "usiibe."
Sijasema ukae kimya. Nimekushauri utubu kwanza, uishi maisha matakatifu halafu ndio utoe kibanzi kwenye jicho la mwenzako. Bila hivyo hata wewe ukipata madaraka, utatenda udhalimu tu.Kwa mantiki hii hakuna mwenye haki ya kuhubiri na kukanya wenzake dhidi ya kutenda dhambi kwa sababu hakuna binadamu ambaye moyoni mwake hana doa. Yaani tukae kimya tu na tuache uovu ushamiri kwa sababu tu tuna madoa mioyoni mwetu. Huu ni ushauri wa hovyo.
Leo hii tunasikia makelele mengi kuhusu reform. Reform ya mifumo ya uchaguzi nk. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha ni hili: watu wanaodai reform ya nje, wao wenyewe hawajawahi kuruhusu Mungu awafanyie reform ya ndani. Ni ajabu sana mtu anapigania mabadiliko ya nje wakati moyo wake umejaa chuki, hasira, uongo, uasherati na uzinzi, ulevi, uchawi na kutotubu!
Reform ya kweli huanza ndani ya mtu, si kwenye mabango mitaani. Mungu anafurahia zaidi mtu ambaye yuko tayari moyo wake uwe reformed:
Luka 15:7
"Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu."
Watu wanataka viongozi waadilifu, lakini wao wenyewe ni wadanganyifu kazini na majumbani. Wanapiga wake zao. Maongezi yao yamejaa tamaa za mwili. Midomo yao imejaa maneno yasiyo na heshima kwa wazazi na wanaowazidi umri.
Mathayo 7:4-5
"Wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako? Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako."
Wengine wanapaza sauti dhidi ya rushwa, lakini wao wenyewe wanalipa 'kitu kidogo' ili wapate huduma wasizostahili. Wanatoa rushwa ili magari yao yasikamatwe barabarani.
Warumi 2:21
Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.
So while others are busy chanting “No reform, no election,” I’m over here praying: “Lord, reform my heart and count me among Your elect!” Because one day, all earthly elections will fade, but only those whose names are written in the Lamb’s Book of Life will reign forever and ever. Amen.
Absolutely not. God never condones evil—whether committed by rulers or resisters. But He also does not excuse hypocrisy. His call is clear: ‘Let justice roll on like a river, righteousness like a never-failing stream.’ (Amos 5:24). True reform begins when both the governed and the governing repent.Kwahyo Mungu wako anahalalisha yale yanayotokea nchini, ya watu kutekwa na kuuawa kuwa ni sawa eti kisa tu kwakuwa sisi wengine tuna dhambi?
Madai ya reform ni matokeo ya R4 za rais...Leo hii tunasikia makelele mengi kuhusu reform. Reform ya mifumo ya uchaguzi nk. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha ni hili: watu wanaodai reform ya nje, wao wenyewe hawajawahi kuruhusu Mungu awafanyie reform ya ndani. Ni ajabu sana mtu anapigania mabadiliko ya nje wakati moyo wake umejaa chuki, hasira, uongo, uasherati na uzinzi, ulevi, uchawi na kutotubu!