Ni ajabu sana: Wanapiga kelele za Reform, lakini mioyo yao haijawahi kufanyiwa Reform!

Tuombe:
Ee Mungu Baba, nimetambua mimi ni mwenye dhambi. Nimekuwa wa kwanza kuwakosoa wengine, bila kujiangalia kwanza moyo wangu. Leo nakuja mbele zako nikiomba msamaha wako. Natubu dhambi zangu zote na kuziacha. Nakiri kuwa Yesu Kristo ni Bwana, na Yeye ndiye Mwokozi wa ulimwengu. Yesu karibu moyoni mwangu utawale maisha yangu kuanzia leo. Nipatie moyo mpya, nifanyie 'reform' ya kweli ndani yangu. Naomba unipe nguvu ya kushinda dhambi na kuishi maisha matakatifu. Asante Yesu kwa kuniokoa. Katika Jina la Yesu Kristo, ninaomba na kushukuru. Amen.
No reforms no election full stop
 
Leo hii tunasikia makelele mengi kuhusu reform. Reform ya mifumo ya uchaguzi nk. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha ni hili: watu wanaodai reform ya nje, wao wenyewe hawajawahi kuruhusu Mungu awafanyie reform ya ndani. Ni ajabu sana mtu anapigania mabadiliko ya nje wakati moyo wake umejaa chuki, hasira, uongo, uasherati na uzinzi, ulevi, uchawi na kutotubu!

Reform ya kweli huanza ndani ya mtu, si kwenye mabango mitaani. Mungu anafurahia zaidi mtu ambaye yuko tayari moyo wake uwe reformed:
Luka 15:7
"Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu."

Watu wanataka viongozi waadilifu, lakini wao wenyewe ni wadanganyifu kazini na majumbani. Wanapiga wake zao. Maongezi yao yamejaa tamaa za mwili. Midomo yao imejaa maneno yasiyo na heshima kwa wazazi na wanaowazidi umri.
Mathayo 7:4-5
"Wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako? Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako."

Wengine wanapaza sauti dhidi ya rushwa, lakini wao wenyewe wanalipa 'kitu kidogo' ili wapate huduma wasizostahili. Wanatoa rushwa ili magari yao yasikamatwe barabarani.
Warumi 2:21
Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.

So while others are busy chanting “No reform, no election,” I’m over here praying: “Lord, reform my heart and count me among Your elect!” Because one day, all earthly elections will fade, but only those whose names are written in the Lamb’s Book of Life will reign forever and ever. Amen.
Maneno mazuri sana,japo umesahau jambo moja kwamba,utakuta msajili wa mambo ya imani yeye hana imani maana ndo kauli mbiu ya nchi kuwa serikali haina dini bali watu ndo wenye imani,jiulize swali hili je,kuna serikali bila watu? na kama watu ndo serikali,inakuwaje serikali haina dini?,Ndo maana reforms haziepukiki.
 
Mungu hafurahii tunapoinua mawe kutaka kuwapiga tunaowatuhumu kuwa ni wenye dhambi wakati sisi wenyewe tunafanya dhambi hizo hizo. Kama wewe ni msomaji wa Biblia utakuwa unakumbuka kisa cha wale watu waliomfumania mwanamke katika uzinzi. Walimshitaki kwa Yesu na kusema kwamba anastahili kupigwa mawe kulingana na Torati yao. Angalia jinsi Yesu alivyowajibu:
Yohana 8:7 BHN
Walipozidi kumwuliza, Yesu akainuka, akawaambia, “Mtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga jiwe.".. Waliposikia hivyo, wakaanza kutoweka mmojammoja, wakitangulia wazee. Yesu akabaki peke yake, na yule mwanamke amesimama palepale.
NRNE
 
Gq-zsaJXMAAdta5.jpeg
 
Nilichoelewa Setfree upo too spiritual centered. Kuna vitu haviitaji mitazamo ya Imani pekee.

Fikiria juu ya Hali ya wasiwasi inayojengwa kwa wananchi kutokana na matukio kadhaa yaliotokea. Nayo hii inahitaji mateja wote Tz waache mihadarati na uraibu kwanza ndio mtu mmoja asimame akemee watawala?

Hapana, ingependeza kama unge cite scriptures za kutetea umma zaidi.
 
Sleep? Far from it. I am awake where it matters most. For it is written: 'Let us not be like others, who are asleep, but let us be awake and sober.' (1 Thes 5:6). Some stay alert to politics—others to eternity.
Wewe nilishakwambia nikuoe akili ikae sawa
 
Leo hii tunasikia makelele mengi kuhusu reform. Reform ya mifumo ya uchaguzi nk. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha ni hili: watu wanaodai reform ya nje, wao wenyewe hawajawahi kuruhusu Mungu awafanyie reform ya ndani. Ni ajabu sana mtu anapigania mabadiliko ya nje wakati moyo wake umejaa chuki, hasira, uongo, uasherati na uzinzi, ulevi, uchawi na kutotubu!

Reform ya kweli huanza ndani ya mtu, si kwenye mabango mitaani. Mungu anafurahia zaidi mtu ambaye yuko tayari moyo wake uwe reformed:
Luka 15:7
"Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu."

Watu wanataka viongozi waadilifu, lakini wao wenyewe ni wadanganyifu kazini na majumbani. Wanapiga wake zao. Maongezi yao yamejaa tamaa za mwili. Midomo yao imejaa maneno yasiyo na heshima kwa wazazi na wanaowazidi umri.
Mathayo 7:4-5
"Wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako? Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako."

Wengine wanapaza sauti dhidi ya rushwa, lakini wao wenyewe wanalipa 'kitu kidogo' ili wapate huduma wasizostahili. Wanatoa rushwa ili magari yao yasikamatwe barabarani.
Warumi 2:21
Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.

So while others are busy chanting “No reform, no election,” I’m over here praying: “Lord, reform my heart and count me among Your elect!” Because one day, all earthly elections will fade, but only those whose names are written in the Lamb’s Book of Life will reign forever and ever. Amen.
No reforms -No election
 
Unavyohubiri wokovu nikadhani unapenda haki kumbe wewe na wauaji ni pete na kidole
 
Wewe huna dhambi?
 
Usichanganye mambo ya siasa na mambo ya wokovu hutaeleweka
 
Your zeal is evident, though civility would have served you better. I return to the Scriptures daily—not in defiance, but in devotion. May grace temper your fervor.
With that political illiteracy.....you will always see things opposite. You failed to comprehend the scriptures you're believing in.
 
Leo hii tunasikia makelele mengi kuhusu reform. Reform ya mifumo ya uchaguzi nk. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha ni hili: watu wanaodai reform ya nje, wao wenyewe hawajawahi kuruhusu Mungu awafanyie reform ya ndani. Ni ajabu sana mtu anapigania mabadiliko ya nje wakati moyo wake umejaa chuki, hasira, uongo, uasherati na uzinzi, ulevi, uchawi na kutotubu!

Reform ya kweli huanza ndani ya mtu, si kwenye mabango mitaani. Mungu anafurahia zaidi mtu ambaye yuko tayari moyo wake uwe reformed:
Luka 15:7
"Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu."

Watu wanataka viongozi waadilifu, lakini wao wenyewe ni wadanganyifu kazini na majumbani. Wanapiga wake zao. Maongezi yao yamejaa tamaa za mwili. Midomo yao imejaa maneno yasiyo na heshima kwa wazazi na wanaowazidi umri.
Mathayo 7:4-5
"Wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako? Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako."

Wengine wanapaza sauti dhidi ya rushwa, lakini wao wenyewe wanalipa 'kitu kidogo' ili wapate huduma wasizostahili. Wanatoa rushwa ili magari yao yasikamatwe barabarani.
Warumi 2:21
Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.

So while others are busy chanting “No reform, no election,” I’m over here praying: “Lord, reform my heart and count me among Your elect!” Because one day, all earthly elections will fade, but only those whose names are written in the Lamb’s Book of Life will reign forever and ever. Amen.
Hoja ya kijinga
 
Back
Top Bottom