slip way
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 688
- 701
Nimeshangaa piaa mlokole wa wapi huyu anashindwa kutembea na No reforms no electionHuyu mlokole nlikua namuheshimu Sana kumbe nayeye HAMNAZO
Nimeshangaa piaa mlokole wa wapi huyu anashindwa kutembea na No reforms no electionHuyu mlokole nlikua namuheshimu Sana kumbe nayeye HAMNAZO
Nimekombolewa na Yesu,Kwahiyo wewe unajiona umeshajikomboa na ni last born wa Mungu wetu?View attachment 3360061
Duniani watu wanaohubiri Injili bila unafiki wamejaa sana. Hata ChatGPT anahubiri Injili bila unafiki.Bongo unafki umejaa sana.
Kutumia Mandiko na Neno la Mungu, hakukuhalarishii kutopingwaLeo hii tunasikia makelele mengi kuhusu reform. Reform ya mifumo ya uchaguzi nk. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha ni hili: watu wanaodai reform ya nje, wao wenyewe hawajawahi kuruhusu Mungu awafanyie reform ya ndani. Ni ajabu sana mtu anapigania mabadiliko ya nje wakati moyo wake umejaa chuki, hasira, uongo, uasherati na uzinzi, ulevi, uchawi na kutotubu!
Reform ya kweli huanza ndani ya mtu, si kwenye mabango mitaani. Mungu anafurahia zaidi mtu ambaye yuko tayari moyo wake uwe reformed:
Luka 15:7
"Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu."
Watu wanataka viongozi waadilifu, lakini wao wenyewe ni wadanganyifu kazini na majumbani. Wanapiga wake zao. Maongezi yao yamejaa tamaa za mwili. Midomo yao imejaa maneno yasiyo na heshima kwa wazazi na wanaowazidi umri.
Mathayo 7:4-5
"Wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako? Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako."
Wengine wanapaza sauti dhidi ya rushwa, lakini wao wenyewe wanalipa 'kitu kidogo' ili wapate huduma wasizostahili. Wanatoa rushwa ili magari yao yasikamatwe barabarani.
Warumi 2:21
Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.
So while others are busy chanting “No reform, no election,” I’m over here praying: “Lord, reform my heart and count me among Your elect!” Because one day, all earthly elections will fade, but only those whose names are written in the Lamb’s Book of Life will reign forever and ever. Amen.
Mathayo 15:26-28WE MSENGE HAKUNA ANAYEPIGA KELELE TUNATETEA VIZAZI VYETU MBWA WEEE
Kama ulikuwa unaniheshimu kwa sababu huwa ninaongea maneno ya Mungu, kinachokukasirisha ni nini sasaHuyu mlokole nlikua namuheshimu Sana kumbe nayeye HAMNAZO
Sadaka ni wizi,sasa mimi kuiba kwa wanaopenda kuibiwa kwako umefanya kuwa ushahidi,ebu lete.Ushahidi mwingine huo. Unawatuhumu wenzako kwamba wanakula pesa wakati wewe mwenyewe unawaza sadaka/ulaji.
1 Kor 1:18-31upuuZi Gani umeandika leo
Leo hii tunasikia makelele mengi kuhusu reform. Reform ya mifumo ya uchaguzi nk. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha ni hili: watu wanaodai reform ya nje, wao wenyewe hawajawahi kuruhusu Mungu awafanyie reform ya ndani. Ni ajabu sana mtu anapigania mabadiliko ya nje wakati moyo wake umejaa chuki, hasira, uongo, uasherati na uzinzi, ulevi, uchawi na kutotubu!
Reform ya kweli huanza ndani ya mtu, si kwenye mabango mitaani. Mungu anafurahia zaidi mtu ambaye yuko tayari moyo wake uwe reformed:
Luka 15:7
"Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu."
Watu wanataka viongozi waadilifu, lakini wao wenyewe ni wadanganyifu kazini na majumbani. Wanapiga wake zao. Maongezi yao yamejaa tamaa za mwili. Midomo yao imejaa maneno yasiyo na heshima kwa wazazi na wanaowazidi umri.
Mathayo 7:4-5
"Wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako? Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako."
Wengine wanapaza sauti dhidi ya rushwa, lakini wao wenyewe wanalipa 'kitu kidogo' ili wapate huduma wasizostahili. Wanatoa rushwa ili magari yao yasikamatwe barabarani.
Warumi 2:21
Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.
So while others are busy chanting “No reform, no election,” I’m over here praying: “Lord, reform my heart and count me among Your elect!” Because one day, all earthly elections will fade, but only those whose names are written in the Lamb’s Book of Life will reign forever and ever. Amen.
Kashatupiwa Majin tyr
Yn 15:13 SUVWewe uliyeandika hii una upendo kweli? Kama una busara na hekima muombe Mungu wako akusamehe kwa kutoa maneno yake kama ibilisi.
Wewe una haki sana kuliko hao wauajiTubu na uombe toba kilio cha watanzania sio mchezo kitarudi kwako. Tukuachie wewe utekaji na kuuwawa kwa raia katika familia yako.
Yesu yeye karuhusu kuiba kura? Fala kweli weweNimekombolewa na Yesu,
Aliyenirehemia,
Kwa bei ya mauti yake,
Nimekuwa mtoto wake...
Shetani ni muongo na baba wa uongo.Unatumia maandiko ya biblia vibaya,hata shetani hutumia maandiko, we ni mjumbe wa shetani
Mioyo ya watu wote ikiwa reformed hilo ndilo jibu sahihi la matatizo ya kimaisha.kwa mtazamo wangu suala la mungu ni la mtu bjnafsi. halafu wewe unapotaka watu wafanyiwe reforms ndani ya mioyo yao je, ndilo jibu sahihi la matatizo ya hali mbaya ya kiuchumi, kisiasa na hata kimaadili tusumbuayo kwa sasa?
Mimi simalizi. Bado nina kazi kubwa ya kuwaambia watu wote duniani kwambanamalizia kwa kusema kuwa no reforms no ellection.