Ni ajabu sana: Wanapiga kelele za Reform, lakini mioyo yao haijawahi kufanyiwa Reform!

Leo hii tunasikia makelele mengi kuhusu reform. Reform ya mifumo ya uchaguzi nk. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha ni hili: watu wanaodai reform ya nje, wao wenyewe hawajawahi kuruhusu Mungu awafanyie reform ya ndani. Ni ajabu sana mtu anapigania mabadiliko ya nje wakati moyo wake umejaa chuki, hasira, uongo, uasherati na uzinzi, ulevi, uchawi na kutotubu!

Reform ya kweli huanza ndani ya mtu, si kwenye mabango mitaani. Mungu anafurahia zaidi mtu ambaye yuko tayari moyo wake uwe reformed:
Luka 15:7
"Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu."

Watu wanataka viongozi waadilifu, lakini wao wenyewe ni wadanganyifu kazini na majumbani. Wanapiga wake zao. Maongezi yao yamejaa tamaa za mwili. Midomo yao imejaa maneno yasiyo na heshima kwa wazazi na wanaowazidi umri.
Mathayo 7:4-5
"Wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako? Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako."

Wengine wanapaza sauti dhidi ya rushwa, lakini wao wenyewe wanalipa 'kitu kidogo' ili wapate huduma wasizostahili. Wanatoa rushwa ili magari yao yasikamatwe barabarani.
Warumi 2:21
Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.

So while others are busy chanting “No reform, no election,” I’m over here praying: “Lord, reform my heart and count me among Your elect!” Because one day, all earthly elections will fade, but only those whose names are written in the Lamb’s Book of Life will reign forever and ever. Amen.
1 Tim 4:1-2 SUV
[1] Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; [2] kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;
 
Unajuaje hao wanaokosoa wametubu?aisee we kihiyo kabisa,tutolee upuuzi wako humu hujui unachosimamia
Sijasema ukae kimya. Nimekushauri utubu kwanza, uishi maisha matakatifu halafu ndio utoe kibanzi kwenye jicho la mwenzako. Bila hivyo hata wewe ukipata madaraka, utatenda udhalimu tu.
 
Unajuaje hao wanaokosoa wametubu? aisee we kihiyo kabisa,tutolee upuuzi wako humu hujui unachosimamia
Mathayo 7:16-20
"Mtawatambua kwa matendo yao...Mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri..."

Unaniita Kihiyo halafu unasema umetubu?

Kama umetubu ulimi wako haupaswi kubariki na kulaani
Yakobo 3:10 (BHN)
"...Maneno ya kubariki na ya kulaani hutoka katika kinywa kimoja. Ndugu zangu, mambo haya hayapaswi kuwa hivyo."

NO HEART REFORM, NO ELECTION INTO HEAVEN
 
Lala hujui Lolote kuhusu Siasa.

#No reforms no election
Nimeamka. Sasa nakuuliza, wewe unayeijua siasa kwanini unapiga kelele za "No reforms" huku umejificha nyuma ya keyboard na ID fake. Si ujitokeze hadharani?
 
Ili umteke?
 
Mkuu ushalogwa, nenda Morogoro kwa Kalembwani
Waliologwa ni Wagalatia
Gal 3:1-14
Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulibiwa?
 
Biblia ni kama msitu mnene unaweza ona njia katikati ya msitu au kuendelea kupotea zaidi.
Am very sorry unapotee zaidi. You manipulate the Word of God blindly.
 
Leo hii tunasikia makelele mengi kuhusu reform. Reform ya mifumo ya uchaguzi nk. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha ni hili: watu wanaodai reform ya nje, wao wenyewe hawajawahi kuruhusu Mungu awafanyie reform ya ndani. Ni ajabu sana mtu anapigania mabadiliko ya nje wakati moyo wake umejaa chuki, hasira, uongo, uasherati na uzinzi, ulevi, uchawi na kutotubu!

Reform ya kweli huanza ndani ya mtu, si kwenye mabango mitaani. Mungu anafurahia zaidi mtu ambaye yuko tayari moyo wake uwe reformed:
Luka 15:7
"Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu."

Watu wanataka viongozi waadilifu, lakini wao wenyewe ni wadanganyifu kazini na majumbani. Wanapiga wake zao. Maongezi yao yamejaa tamaa za mwili. Midomo yao imejaa maneno yasiyo na heshima kwa wazazi na wanaowazidi umri.
Mathayo 7:4-5
"Wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako? Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako."

Wengine wanapaza sauti dhidi ya rushwa, lakini wao wenyewe wanalipa 'kitu kidogo' ili wapate huduma wasizostahili. Wanatoa rushwa ili magari yao yasikamatwe barabarani.
Warumi 2:21
Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.

So while others are busy chanting “No reform, no election,” I’m over here praying: “Lord, reform my heart and count me among Your elect!” Because one day, all earthly elections will fade, but only those whose names are written in the Lamb’s Book of Life will reign forever and ever. Amen.
Daftari la kupiga kura limemaliza kuhakikiwa mwezi March mwaka huu, wao leo hii wanakuja na makelele ya NRNE haiwezi kuwasaidia chochote.

Kwa taarifa yao idadi ya waliojiandikisha kupiga kura mwaka huu ni kubwa kuliko ile ya mwaka 2020.
 
Nimeamka. Sasa nakuuliza, wewe unayeijua siasa kwanini unapiga kelele za "No reforms" huku umejificha nyuma ya keyboard na ID fake. Si ujitokeze hadharani?
Nyuma ya keyboard? Humu ni hadharani
 
Wimbo ni mmoja tu saivi Tanzania. No Reform No Election
Huu wimbo ni mtamu zaidi👇

No heart reform, no election into heaven.
Without a changed (reformed) heart, one cannot be chosen (elected) to enter heaven.
 
Reform ya nje imejikita ktk kudahi haki zaidi na Reform ya ndani kimsingi inahusu spiritual life...

UKiona mtu analia sana ujue haki yake imepotea au iko mbioni kupotea,ni haki kudai haki maana msingi wa uhai wa mwanadamu sio kuishi kama ng'ombe au mbuzi wanavyoishi.
 
Sisi tuache mwelekeo wetu nawe baki na wako na ndugu zako na walio na imani moja nawe.
Mungu ameniagiza nihubiri habari njema kwa mataifa yote kwamba...
Without a changed (reformed) heart, one cannot be chosen (elected) to enter heaven.
 
This time mtakula BUKU 7 kwa jasho haswa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Leo hii tunasikia makelele mengi kuhusu reform. Reform ya mifumo ya uchaguzi nk. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha ni hili: watu wanaodai reform ya nje, wao wenyewe hawajawahi kuruhusu Mungu awafanyie reform ya ndani. Ni ajabu sana mtu anapigania mabadiliko ya nje wakati moyo wake umejaa chuki, hasira, uongo, uasherati na uzinzi, ulevi, uchawi na kutotubu!

Reform ya kweli huanza ndani ya mtu, si kwenye mabango mitaani. Mungu anafurahia zaidi mtu ambaye yuko tayari moyo wake uwe reformed:
Luka 15:7
"Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu."

Watu wanataka viongozi waadilifu, lakini wao wenyewe ni wadanganyifu kazini na majumbani. Wanapiga wake zao. Maongezi yao yamejaa tamaa za mwili. Midomo yao imejaa maneno yasiyo na heshima kwa wazazi na wanaowazidi umri.
Mathayo 7:4-5
"Wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako? Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako."

Wengine wanapaza sauti dhidi ya rushwa, lakini wao wenyewe wanalipa 'kitu kidogo' ili wapate huduma wasizostahili. Wanatoa rushwa ili magari yao yasikamatwe barabarani.
Warumi 2:21
Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.

So while others are busy chanting “No reform, no election,” I’m over here praying: “Lord, reform my heart and count me among Your elect!” Because one day, all earthly elections will fade, but only those whose names are written in the Lamb’s Book of Life will reign forever and ever. Amen.
Haya ni makubwa katika jf, wewe umejuaje kama nyoyo zao hawajazifanyia reform, au wewe ni ndugu na Nabii Tito
 
Acha mbwembwe No reforms no election
 
Back
Top Bottom