Ni akili au matope ? Wachumba wanapelekana Vikoba kwenda kukopa milioni kumi, wanafanyia harusi kubwa. Deni wanakwepa kulipa

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
Habari wadau.

Nimekutana na post mtandaoni wa maharusi wapya wanalalamikiwa kukwepa kulipa deni la milioni zaidi ya 10 walizokopa kwa ajili ya kufanyia harusi yao.

Inasemekana walifanya harusi kubwa iliyotrend instagram kwenye page za MC maarufu. Kwa hela za mkopo. Ila kulipa deni hawataki

Inasemekana kazi ya bwana harusi ni winga maarufu wa kuuza simu makumbusho.

Screenshot_20250113-233141.png
 
Attachments

  • -326479558.mp4
    4.9 MB
Kuna baadhi ya watu wanaingia kwenye matatizo makubwa yanayopelekea hadi ndoa kuyumba na kuwa chungu mapema kabisa kwa mambo ambayo yanaepukika, yanini ufanye sherehe kubwa kuliko uwezo wako?

La muhimu sana siku ya kufunga ndoa ni tukio la kubariki tu hayo mengineyo ni ziada.
 
Kwa nayoskia yapo ndani ya ndoa,,io sku itafanywa juu chini nifurahi kama sitawahi furahi tena🤣🤣nawaunga mkono wakopaji
 
Sababu kuu ni wanawake wanapenda harusi kubwa, hata huyo Bwana harusi alipelekwa na mchumba wake kwenda kukopa.

Mwanamke ndie mdhamini wa huo mkopo
 
Sioni umuhimu wa kufanya hivyo, fanya ufurahi kwa uwezo uliojaaliwa, kopa ukiwa na uhakika wa kurejesha na sio uanze kuleta uhuni.
Kwa nayoskia yapo ndani ya ndoa,,io sku itafanywa juu chini nifurahi kama sitawahi furahi tena🤣🤣nawaunga mkono wakopaji
Oya nyie na huku mme kuja, Half american SI uli aga una enda kulala??😂🤣
 
Habari wadau.

Nimekutana na post mtandaoni wa maharusi wapya wanalalamikiwa kukwepa kulipa deni la milioni zaidi ya 10 walizokopa kwa ajili ya kufanyia harusi yao.

Inasemekana walifanya harusi kubwa iliyotrend instagram kwenye page za MC maarufu. Kwa hela za mkopo. Ila kulipa deni hawataki

Inasemekana kazi ya bwana harusi ni winga maarufu wa kuuza simu makumbusho.

View attachment 3201212
Idiots
 
Back
Top Bottom