Ni akili au matope ? Wachumba wanapelekana Vikoba kwenda kukopa milioni kumi, wanafanyia harusi kubwa. Deni wanakwepa kulipa

Ni akili au matope ? Wachumba wanapelekana Vikoba kwenda kukopa milioni kumi, wanafanyia harusi kubwa. Deni wanakwepa kulipa

😂 unachokitafuta utakipata kenge wewe
FB_IMG_17366198070758277.jpg
 
hili ndo tatizo la sherehe nyingi yaani shughuli ikiwa chini ya usimamizi wa wanawake na wakina mama baasi..mwanaume na kina baba msipokuwa na misimamo na mkakubali kuendeshwa kwa mipango na bajeti za wanawake kufata kila walichopanga mume lazima uumie tu hata kwa kuingia madeni kwani hawa wanawake asili yao ni kushindana na ufahari tu ukute hizo zawadi mlizopewa hazijapita hata ile hela mliyokopa.!
 
Harusi ya kuwezesha watu wakuendana na budget yao na wangevaa vizuri tu maisha yangeendelea

Huyu anasema michezo wamepokea nao anatakiwa kutoa kila date ya wachezaji. Mzunguko umategemeana na idadi na kiasi wanatoa ikiisha kila mtu anafaidika ni njia pia ya saving

Nikifanyaga na mashoti ila nikaacha baada ya malengo fulani kutimia enzi za ujana wangu
 
Mleta Mada kajifunze kikoba na ya Mzunguko sijui Jina kamili zinaendaje

Sio kila kitu ni kikobaaaa
 
Mmh wanaweza kushikana

Aibu ni kawatoa mtandaoni

Sasa na wao labda watawapiga kwa sheria kama haipo walipojaza fomu kwa T&Cs
Ngumu sana .......kama hawana biashara za maana ngumu hao wote akili yao ni moja kwa akili ya kawaida tu ni ngumu kuchukua mkopo wa riba kwa ajiri ya ndoa kwani hakuna ulazima ndoa hata laki5 mnafunga vizuri na watu wanakula wanashiba kwa uchache wao.Kwa kifupi wamefanya hayo kwa mashindano kwamba yetu itakuwa zaidi ya akina dev ya kwetu itakuwa kubwa na nzuri sana bila kuangalia kipato chenu
 
Back
Top Bottom