Ni akili au matope ? Wachumba wanapelekana Vikoba kwenda kukopa milioni kumi, wanafanyia harusi kubwa. Deni wanakwepa kulipa

Tatizo ni ukosefu wa akili.
Wazungu wenyewe washaachana na mambo ya sherehe za kuumiza ila huku Afrika kila siku ni michango ya hharusi, sendoff na kitchen party.
Mimi sichangii upumbavu
 
Habari wadau.

Nimekutana na post mtandaoni wa maharusi wapya wanalalamikiwa kukwepa kulipa deni la milioni zaidi ya 10 walizokopa kwa ajili ya kufanyia harusi yao.

Inasemekana walifanya harusi kubwa iliyotrend instagram kwenye page za MC maarufu. Kwa hela za mkopo. Ila kulipa deni hawataki

Inasemekana kazi ya bwana harusi ni winga maarufu wa kuuza simu makumbusho.

View attachment 3201212
Matope hayo. Nawachukia sana watu wanaofanya sherehe kubwa huku wakijua hawana uwezo wa kugharamia harusi hiyo. Huu ni uendawazimu.
 
Habari wadau.

Nimekutana na post mtandaoni wa maharusi wapya wanalalamikiwa kukwepa kulipa deni la milioni zaidi ya 10 walizokopa kwa ajili ya kufanyia harusi yao.

Inasemekana walifanya harusi kubwa iliyotrend instagram kwenye page za MC maarufu. Kwa hela za mkopo. Ila kulipa deni hawataki

Inasemekana kazi ya bwana harusi ni winga maarufu wa kuuza simu makumbusho.

View attachment 3201212
Winga kaingia kingi
 
Niliwahi shuhudia hili kwa ndugu yangu mmoja hivi, alifunga ndoa ya maana kabisa yenye bajeti sio haba, ila miezi mi3 baadae ananipiga kizinga cha 20k hadi nikashtuka

Back
Top Bottom