Kwa nayoskia yapo ndani ya ndoa,,io sku itafanywa juu chini nifurahi kama sitawahi furahi tenaπ€£π€£nawaunga mkono wakopajiKuna baadhi ya watu wanaingia kwenye matatizo makubwa yanayopelekea hadi ndoa kuyumba na kuwa chungu mapema kabisa kwa mambo ambayo yanaepukika, yanini ufanye sherehe kubwa kuliko uwezo wako?
La muhimu sana siku ya kufunga ndoa ni tukio la kubariki tu hayo mengineyo ni ziada.
Kuna baadhi ya watu wanaingia kwenye matatizo makubwa yanayopelekea hadi ndoa kuyumba na kuwa chungu mapema kabisa kwa mambo ambayo yanaepukika, yanini ufanye sherehe kubwa kuliko uwezo wako?
La muhimu sana siku ya kufunga ndoa ni tukio la kubariki tu hayo mengineyo ni ziada.
Sioni umuhimu wa kufanya hivyo, fanya ufurahi kwa uwezo uliojaaliwa, kopa ukiwa na uhakika wa kurejesha na sio uanze kuleta uhuni.Kwa nayoskia yapo ndani ya ndoa,,io sku itafanywa juu chini nifurahi kama sitawahi furahi tenaπ€£π€£nawaunga mkono wakopaji
Dah comradeπUkiona watu wamefikia uamuzi wa kuoana jua kabisa fuse haiko sawa kichwani
Kama alishawishiwa na ke wake basi naye punguani sana.Sababu kuu ni wanawake wanapenda harusi kubwa, hata huyo Bwana harusi alipelekwa na mchumba wake kwenda kukopa.
Mwanamke ndie mdhamini wa huo mkopo
Sioni umuhimu wa kufanya hivyo, fanya ufurahi kwa uwezo uliojaaliwa, kopa ukiwa na uhakika wa kurejesha na sio uanze kuleta uhuni.
Oya nyie na huku mme kuja, Half american SI uli aga una enda kulala??ππ€£Kwa nayoskia yapo ndani ya ndoa,,io sku itafanywa juu chini nifurahi kama sitawahi furahi tenaπ€£π€£nawaunga mkono wakopaji
haijalishi muhimu nifurahi,kurejesha watanichangia nduguSioni umuhimu wa kufanya hivyo, fanya ufurahi kwa uwezo uliojaaliwa, kopa ukiwa na uhakika wa kurejesha na sio uanze kuleta uhuni.
ππUko sure hauna stress yoyote na unahitaji kufarijikaOya nyie na huku mme kuja, Half american SI uli aga una enda kulala??ππ€£
Wewe ulishawahi kumsaidia kumlipia deni nduguyo au unasema tu.haijalishi muhimu nifurahi,kurejesha watanichangia ndugu
IdiotsHabari wadau.
Nimekutana na post mtandaoni wa maharusi wapya wanalalamikiwa kukwepa kulipa deni la milioni zaidi ya 10 walizokopa kwa ajili ya kufanyia harusi yao.
Inasemekana walifanya harusi kubwa iliyotrend instagram kwenye page za MC maarufu. Kwa hela za mkopo. Ila kulipa deni hawataki
Inasemekana kazi ya bwana harusi ni winga maarufu wa kuuza simu makumbusho.
View attachment 3201212
Tuache tafadhaliOya nyie na huku mme kuja, Half american SI uli aga una enda kulala??ππ€£
Tuache tafadhali
wao ndo wataanza namimi then ntafwatiaWewe ulishawahi kumsaidia kumlipia deni nduguyo au unasema tu.