Ni akili au matope ? Wachumba wanapelekana Vikoba kwenda kukopa milioni kumi, wanafanyia harusi kubwa. Deni wanakwepa kulipa

Tatizo ni ukosefu wa akili.
Wazungu wenyewe washaachana na mambo ya sherehe za kuumiza ila huku Afrika kila siku ni michango ya hharusi, sendoff na kitchen party.
Mimi sichangii upumbavu
 
Matope hayo. Nawachukia sana watu wanaofanya sherehe kubwa huku wakijua hawana uwezo wa kugharamia harusi hiyo. Huu ni uendawazimu.
 
Winga kaingia kingi
 
Niliwahi shuhudia hili kwa ndugu yangu mmoja hivi, alifunga ndoa ya maana kabisa yenye bajeti sio haba, ila miezi mi3 baadae ananipiga kizinga cha 20k hadi nikashtuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…