Hao wengine wasiokuwemo kwenye huo mwongozo ndo wanaleta shida barabarani kwetu sisi walala hoi.A motorcade (or convoy, carcade, autocade) is a number of vehicles driving in the same direction on official business..
Saana ila hata mimi ni vivyo vitaa na natanua kama wao tu [emoji41]Hao wengine wasiokuwemo kwenye huo mwongozo ndo wanaleta shida barabarani kwetu sisi walala hoi.
Hana mamlaka kikatiba ni kama alivyokua DAB enzi hizo DarHivi RC anatembea na king'ora?
Maana huwa namuona Hapi akitangulia na King'ora ili apitwe.
Na ili mtu apishwe(msafara) kiutaratibu ni lazima kuwe na kimulimuli(flashlights) na king'ora(siren) ili kutaarifu madereva wengine toka mbali kwa sauti kabla hata hajaona mwangaJana tumepishana nazo ikatubidi mda wote tutoke nje ya barabara maana isije kujirudia zama za Dito mtu akapigwa cha moto kisa kupishana...