Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Sasa GSM wauza madawa ya kulevya kwa kuwatumia Yanga unawataja wa niniAnapendwa nchi nzima kivipi? Umefanya utafiti gani hadi ukasema hivyo? Mbona wapo baadhi ya watu hawampendi? Unataka kuniambia hata wale aliowatuhumu kuuza ngadu wanampenda?
Vipi GSM na familia yake? Ukimfunua Lissu leo au Lema na kumtaja Makonda siutawajaribia mood kwa wakati huo? Vipi kwa mzee Sinde Warioba na watu wake wa karibu?
Usiseme anakubalika nchi nzima. Umedanhanya. Huyo Mungu muumba wa kila kilichomo wapo wanaomkataa itakuja kua huyo mtu wako unae mnadi?
Tafuta lugha ya kumsifia usitoke kwenye reli
Angeendelea na nafasi yake ya uwenezi ndiyo angejiimarisha zaidi katika mikoa hiyo, kuliko kuwa RC. Ukishakuwa RC wa mkoa husika. Utaleta mikwaruzano kama ile ya Gambo na Lema ukiegemea kwenye siasa zaidi.Lakini walikaa wakagundua mwamba anakubalika mikoa yote ya Tanzania bara isipokuwa Arusha, Mbeya na Mara Sana Sana Arusha amepelekwa kwenda kujiwekea mizizi ili mwaka 2025 awe mgombea mwenza wa Samia
Elezea anakubalika kwa lipi. Utekaji, asiyejulikana au mvamizi wa Clouds FM/TVMakonda anakubalika nchi nzima Sema Sasa kwa Arusha kidogo Kuna wapinzani walikuwa wanamchafua Sana Sasa mama anataka atembelee nyota ya Makonda 2025.
Lakini walikaa wakagundua mwamba anakubalika mikoa yote ya Tanzania bara isipokuwa Arusha, Mbeya na Mara Sana Sana Arusha amepelekwa kwenda kujiwekea mizizi ili mwaka 2025 awe mgombea mwenza wa Samia
Hana uncharismatic wowte. Bali anajipa madaraka yasiyo yake.Makonda ni Charismatic.
Jamii za Kisukuma ambazo ni mwenyeji ni mtaji wa Kisiasa.
Wafuasi wengi wa JPM Makonda ndie copy yao.
Ndani ya CCM Makonda bado ni ASSET! Over
Jipe tu matumain kua huenda ni mnyarwanda anaishi nchiniNaona aibu kuwa Mtanzania pamoja na mtoa Mada.