Ni avatar ya member gani wa kike inakupagawisha sana humu mjengoni??

Nimetembea Sana.. Nje na Ndani ya nchi hasa Pattaya kule Thai

Kwa hyo Kama ni nzur nisiseme?
Duuh yaani ulivyokazania huko Pattaya na Patong inaonekana ndiyo umetembea huko tu ila basi ndiyo unajiona kama umetembea dunia nzima yaani
 
Sio huko tuu ila huko nimekupenda zaidi ndo maana nakutaja Sana

Kipendacho roho ..
Duuh yaani ulivyokazania huko Pattaya na Patong inaonekana ndiyo umetembea huko tu ila basi ndiyo unajiona kama umetembea dunia nzima yaani
 
Sijakupendea kwa ajiili hiyo tu
Mda wote unadhani watu tunakuwa negative tu hatuna jema
Yaani wewe hauna jema unaonekana muda wote unawaza kupiga na kusepa tu and you are always negative on women
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…