Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
hahahahah, Mzee Stefano Wasira ndie alimpiga Mwandishi wa habari, alipomuhoji "eti wanasema wewe ni swahiba wa Agustino Lyatonga Mrema..."Enzi hizo wakati Mrema akitamba kwa kubebwa, kuna mtu alirusha konde baada ya kuambiwa kwamba alikuwa swahiba wa Mrema, akidhani neno swahiba lina maana sawa na shoga!!! Hivi alikuwa nani yule?
kutoka: Imburumatale.
Tysonhahahahah, Mzee Stefano Wasira ndie alimpiga Mwandishi wa habari, alipomuhoji "eti wanasema wewe ni swahiba wa Agustino Lyatonga Mrema..."
Mzee Wasira akajitetea kuwa alidhani neno swahiba, kuwa Mrema ana...... (tigo yake)
hahahahah, Mzee Stefano Wasira ndie alimpiga Mwandishi wa habari, alipomuhoji "eti wanasema wewe ni swahiba wa Agustino Lyatonga Mrema..."
Mzee Wasira akajitetea kuwa alidhani neno swahiba, kuwa Mrema ana...... (tigo yake)
Teh na kula mahindi ya kuchoma na pilipili na limao ?Ukianza haya...
-kunywa maji mengi
-kushindia kiepe
-soda ya jero umalizi
-kunywa juice ya miwa
-kunywa urojo
-kuvaa visuruali vya dada zako
Nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe usinywe maji mengi alafu uone kitakachokupata kama ujawekewa na mipiraUkianza haya...
-kunywa maji mengi
-kushindia kiepe
-soda ya jero umalizi
-kunywa juice ya miwa
-kunywa urojo
-kuvaa visuruali vya dada zako
Nk
Sent using Jamii Forums mobile app