Ni baada ya muda gani Mwanaume akifika jijini anaanza kuitwa Mwanaume wa Dar?

Ni baada ya muda gani Mwanaume akifika jijini anaanza kuitwa Mwanaume wa Dar?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Huyu Magufuli kakaa miaka kibao Dar na haitwi Mwanaume wa Dar.....

Wasira kakaa miaka kibao Dar haitwi Mwanaume wa Dar..

Mwanaume anapewa hati ya ukaazi baada ya muda gani wa kukaa Dar?
 
Ni baada ya kuanza kukariri lifestyle ya maisha ya Dar
 
No sooner had he stepped his foot in Dar soil than instantly deserves the brand !!
 
Enzi hizo wakati Mrema akitamba kwa kubebwa, kuna mtu alirusha konde baada ya kuambiwa kwamba alikuwa swahiba wa Mrema, akidhani neno swahiba lina maana sawa na shoga!!! Hivi alikuwa nani yule?

kutoka: Imburumatale.
 
hahahahah, Mzee Stefano Wasira ndie alimpiga Mwandishi wa habari, alipomuhoji "eti wanasema wewe ni swahiba wa Agustino Lyatonga Mrema..."
Mzee Wasira akajitetea kuwa alidhani neno swahiba, kuwa Mrema ana...... (tigo yake)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daaaah!!
hahahahah, Mzee Stefano Wasira ndie alimpiga Mwandishi wa habari, alipomuhoji "eti wanasema wewe ni swahiba wa Agustino Lyatonga Mrema..."
Mzee Wasira akajitetea kuwa alidhani neno swahiba, kuwa Mrema ana...... (tigo yake)

kutoka: Imburumatale.
 
Kunywa juice ya miwa siachi wala kunywa maji mengi tena urojo huo ndo usiseme uwe na mayai mawili na mishkikaki kibao.Yaan ki ufupi hapa nilipo nina mafua ila ukinipa kipaza nakamuwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom