Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wakuu habari, ni muda gani naweza kuuza vipande kwenye mfuko wa UTT liquid Fund au mfuko wa Ukwasi, je naweza kuuza hata baada ya mwezi mmoja au miwili baada ya kununua ama ni mpaka meiezi mitatu au mwaka labda?