Nipo kwenye kutafuta haki. Kwann hasiende mahakamani? That's my question to you. Naomba Majibu, usilete matusi. Kila siku anahojiwa anatoa shutuma hizo.We una hoja gani hapa?
Kwanini Lissu akisimulia Madhira yaliyompata mnachukia sana? Mlitaka afe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo kwenye kutafuta haki. Kwann hasiende mahakamani? That's my question to you. Naomba Majibu, usilete matusi. Kila siku anahojiwa anatoa shutuma hizo.We una hoja gani hapa?
Kwanini Lissu akisimulia Madhira yaliyompata mnachukia sana? Mlitaka afe?
Ujinga mtupu, Lissu aliisha sema aliyempiga risasi ni Magufuli,Sasa uchunguzi wanini wakati Lissu ananjua aliyempiga risasi? Lissu haende mahakamani Maana Yeye anajifanya mwanasheria nguli hiki kichaka cha mahakama zetu hazitendi haki ni uongo, mbona Lissu haliwahi kushinda kesi nyingi kupitia hizi mahakama!.Sisi wanyonge tulishauri Serikali itumie vyombo huru kuchunguza hili jambo ili ukweli ujulikane.
Kukaa kim ya wasidhani kwamba yameisha.
Mwanajamii Forum 'Stuxnet' kwenye moja ya comment yake hapa juzi alitoa comment moja matata sana. Sitaki kuiamini lakini tunasubiri Uchunguzi huru.
Inaonekana kuna mambo mengi yalifanyika enzi zile ambayo hatuyafahamu
Chamani unaitwa think tank,Kwaiyo lisu kupigwa risasi unahisi linaweza kuiongezea milage chadema?
Unapoteza muda wako hapa. Nenda kafanye kaziUjinga mtupu, Lissu aliisha sema aliyempiga risasi ni Magufuli,Sasa uchunguzi wanini wakati Lissu ananjua aliyempiga risasi? Lissu haende mahakamani Maana Yeye anajifanya mwanasheria nguli hiki kichaka cha mahakama zetu hazitendi haki ni uongo, mbona Lissu haliwahi kushinda kesi nyingi kupitia hizi mahakama!.
Inaonekana wewe ni mhitimu wa shule za kataKweli lissu akili imechoka. Kila siku anataka, haojiwe lakin anaongea nonsense. Kama kuna ushahid Lissu ni mwanasheria afungue kesi mahakamani. Sasa, kila, siku porojo tu.
Wewe ndiye anayepoteza mda kuandika habari za kufikirika kila kukicha mnaleta habari eti mnataka uchunguzi wa kupigwa risasi Lissu wakati Yeye Lissu kwamujibu wake Yeye ananjua vizuri,tulimwona hakizunguka kwenye vyombo vya habari vya kimataifa akimtaja,Sasa uchunguzi wanini? Lissu hakwende mahakamani full stop.Unapoteza muda wako hapa. Nenda kafanye kazi
Chadema lacks committed leadership; the top echelons are mostly all mercenaries!Na afiki.
Lissu ana hasira na makasiriko. kwa lugha nyepesi ni Frustration.
Hata mimi ninge kiamsha.
Wewe mkuu unasema umeme tu? Suala la bandari lilikuwa moto zaidi we acha tu.
Kwa mtazamo wangu, CCM waishukuru CHADEMA kwa kusuasua, na kuto kutoa ushirikiano kwa wakati kwa Sauti ya Watanganyika, nataka kusema ilikuwa kwa makusudi sababu za yale "Maridhiano ya nyuma ya Pazia"
Na mara nyingi tatizo linakuja nani ataweza kulinda interest za wenye interest. Usifikiri zile safari za mabalozini zilikuwa in vain.
Haijalishi.
CHADEMA lacks a cohesive message and a coherent policy ajenda.
Yaanii aibu kuuu...Nyamitrakoo.....
..kuna balozi zina majasusi hapa nchini.
..nakushauri ukasome taarifa za CIA kuhusu Tz zilizokuwa declassified utaelewa kuwa kuna watu wanatuchunguza.
Unaambiwa hadi video ipo inasubiriwa muda tu ivujishwe...kuna Mama toka Afrika Magharibi alikuwa UN naye alifukuzwa.
..labda tuangalie kama muda aliofukuzwa ni kabla au baada ya shambulizi la Tundu Lissu.
..lakini kama ni Lissu ametonywa na watu wa Ubalozi basi uwezekano wa taarifa hizo kuwa za kweli ni mkubwa sana.
Amepewa mamlaka na katiba!Dpp ni nani na kwanini awe na mamlaka ya kufuta kesi ambayo imepelekwa mahakamani