mh... pole
sasa tumsaidiaje ili ajisikie...?
pole bibi niite mjuku nikuwashie moto uoteeNiko shamba kuna baridi ni hatari. Sitaki hata kukutana na mastaa wa jf wa hapa huku ni baridi mno.
Mie sina cha kumsaidia ila wewe uko katika nafasi nzuri zaidi ya kumsaidia
mimi sina tatizo yeye aseme tu, mimi nitawezesha usaidivu!
watu wema kama wewe wanahitajika sana katika jamii yetu