Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Haya mabasi wana customer care za hovyo sana. Shabiby nao ndio hovyo kupindukia.
yaani tangu wakati huo mimi huenda stand tu. nitakalokuta ndilo napanda.....na sasa hivi kuna mtindo wa hovyo sana unakwenda siku mbili kabla ya safari, unaonyeshwa chat imejaa. siku ya safari ukifika unakuta wanapiga debe basi hilo hilo liko wazi. Niliwahi kufanyiwa hivyo na kimbinyiko dodoma, ikanichefua moja kwa moja.

Juzi nikiwa natafuta usafiri wa kwenda mbeya, ofisi ya sauli urafiki wamenifanyia hivyo hivyo. Nilimkuta dada mmoja ana sura kama jembe, sina hamu na mabasi ya Sauli
 
Kuna za kigoma na swanga nahisi na mwanza anazo mpya kuna ile T 666 csm inatokea dar bukoba via kahama na hii T246 Dch jamaa gari zake zote engine scania body la kuchonga[emoji81][emoji38]
 
Wanafanya hivyo ili ulipie zaidi.

Ila kwanini sura kama jembe lakini🤣🤣🤣
 
[emoji38][emoji81][emoji1787][emoji1787] aisee hiii ndo kali sana mabus yenye mabodi ya kuchongea ni maumivu ukipanda panda na first aid kit na mwamvuli
 
Kwaiyo pesa yako ikaenda bure mkuuu[emoji52]
 
🤣🤣🤣🤣
 
Na ni mkweche kweli, kama hilo champion.
Haswaaa! Saiv mambo yamebadilika hatuangalii bora safari kufika mapema comfotability nayo ni muhimu unapanda bus ukifika lazima utafute panadol ilipo na ukandwe na maji ya moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…