Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Luwinzo ..njombe ..dar humo tulipanda na bata mbuz na watu wamekaa kwenye vindoo Kama siti

Princess muro arusha ..dar sitasahau tulitoka arusha saa tatu dar tuliingia saa kumi alfajir
Hiyo muro mlipitia dodoma nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Arizona DAR - KIGOMA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaolijua watanisaidia kuelezea sifa zake.
Hehe manake kwanza ncheke,

kuna jamaa angu alikua hapo tabora mm niko dar kuna mzigo anatakiwa aupate ndan ya masaa machache,kufika mbezi salange akanambia hii gari ya kigoma ndo nzuri tabora mapema sana,,,

Nikampa dereva 10k nkachukua namba yake ya simu mm huyoo maskan,,,,inafika saa 12 napiga sm haipatkan hakuna siku nilimaindiwa kama siku hiyo,,
Baada ya siku 2 ndo gari inapita tabora [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu umenikumbusha siku moja tulikua na safari ya kikazi Arusha - Nzega sasa tulikua wanne na bosi wetu tukamuomba mmoja wetu akatukatie tiketi basi zuri. Jamaa akatuambia kakata Mghamba full luxury tutaenjoy wenyewe...!

Advataiz inaanza siku ya safari tulikua tuondoke saa 1 asubuhi. Tumefika stendi basi halipo. Kuuliza uliza pale tukaambiwa tuwe wapole linakuja mda si mrefu. Mabasi yote ya njia hiyo yameondoka sisi tupo tu, saa mbili, saa tatu, saa nne..!

Mara ghafla tunaona ngarangara moja la kutisha linaingia sisi wala hatukuhangaika nalo tukawa tunaendelea na stori tukajua ni yale mabasi yanayoenda King'ori na Ngarenanyuki huko. Cha ajabu tunasikia jamaa anaita "Haya haya wale wa Singida, Nzega mpaka Kahama chuma hicho apo...!! Hatukutaka kuamini tulichokua tunasikia. Wote tulibadilika rangi pale, tukaanza kugomba ila ndio hivyo hatuna cha kufanya. Aisee ile safari ilikua ya hovyo sana mpaka tunafika hatukua na hamu.View attachment 2223836
Mghamba na kiazi kitamu n mbovu body tuu,lkn hizi gari n masaa sana
 
Champion dodoma to dar..aisee nliampa sitopanda Tena hzo gari...never ever
 
Kwanza majinja body lake ni la kuchongea pia injini ni za scania mkuu[emoji16]
Kuna ile moja namba zake sijui ila mwisho n BUL achana na hyo chuma kipindi hiko iko na bobdere bon upara,,yule mbwa alikua mchafu sana,,kigoma yake,bukoba yake,tabora yake,kyela yake,,alaf n masaa tuu sasa iv naona yupo kwenye d moja sijajua n ya wap
 
Allys enzi zile mafuso ndo yanafungwa bodi za bus. Dar mwanza tuliingia saa kumi jion ilikuwa haigusi aridh, haipunguzi kwenye bamz mbaya zaid nlikaa siti za nyuma tumemaliza kunywa chai dodoma mida ya saa tano kama sikosei tukaanza safari bado sijafunga mkanda, ilipita bamz moja nikajipiga kichwa kwenye keria nikatobolewa na chuma kichwani
 
Yale magari yalitamba kipindi kile barabara ya Arusha - Singida haijawekwa lami. Kwa sasa hatuangalii tu mwendo, tunaangalia pia comfortability nk.
Ile barabara ya arusha singida kuna sehemu ina matuta kama 50 iv [emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373]
 
Dar Lux...good halipo.
Lakini pia hata ABC kutokea Dodoma kuja Dar mwezi wa nne nilitendwa vibaya sana. Nilikuwa wilaya ya jirani kwa shughuli binafsi. Nikawapigia simu alhamisi wanipe nafasi ya jmosi. Wakanipa numbe ya kulipa ya voda, iliyosajiliwa kwa jina la somebody Ngairo or ngajiro, nikalipa. Nikamwagiza kijana wangu akachukue ticket. Nilipofika dodoma usiku wa ijumaa nikaona ticket imeandikwa kusafiri siku hiyo ya ijumaa.

Nilipowafuata jumamosi alfajiri maana ilikuwa nisafiri saa 12, nilipata majibu ya hovyo sikutegemea. Nilijaribu kuchat na dada/mama supervisor wa ABC Dodoma, I must say ni wa hovyo kupindukia. Niliamua kuondoka ofisi kwao area c mpaka nanenane nikapanda basi la BM.
 
Hehe manake kwanza ncheke,

kuna jamaa angu alikua hapo tabora mm niko dar kuna mzigo anatakiwa aupate ndan ya masaa machache,kufika mbezi salange akanambia hii gari ya kigoma ndo nzuri tabora mapema sana,,,

Nikampa dereva 10k nkachukua namba yake ya simu mm huyoo maskan,,,,inafika saa 12 napiga sm haipatkan hakuna siku nilimaindiwa kama siku hiyo,,
Baada ya siku 2 ndo gari inapita tabora [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji81][emoji706]
 
Dar Lux...good halipo.
Lakini pia hata ABC kutokea Dodoma kuja Dar mwezi wa nne nilitendwa vibaya sana. Nilikuwa wilaya ya jirani kwa shughuli binafsi. Nikawapigia simu alhamisi wanipe nafasi ya jmosi. Wakanipa numbe ya kulipa ya voda, iliyosajiliwa kwa jina la somebody Ngairo or ngajiro, nikalipa. Nikamwagiza kijana wangu akachukue ticket. Nilipofika dodoma usiku wa ijumaa nikaona ticket imeandikwa kusafiri siku hiyo ya ijumaa.

Nilipowafuata jumamosi alfajiri maana ilikuwa nisafiri saa 12, nilipata majibu ya hovyo sikutegemea. Nilijaribu kuchat na dada/mama supervisor wa ABC Dodoma, I must say ni wa hovyo kupindukia. Niliamua kuondoka ofisi kwao area c mpaka nanenane nikapanda basi la BM.
Haya mabasi wana customer care za hovyo sana. Shabiby nao ndio hovyo kupindukia.
 
Back
Top Bottom