Ni basi lipi 'luxury' kwa safari za Mbeya?

NB dar lux na sauli nauli 44k

Nami ningependa kujua Bus Luxury safi ya Dar - Musoma iliyotulia na pia ni mzuri nikijua nauli zake na muda wa kufika Musoma kwani nasikia zingine lazima ulale njiani Shinyanga au Mwanza?
 
jm luxury..
 
Ndege hupendi? Tungekukatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…