Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NB dar lux na sauli nauli 44k
jm luxury..Nami ningependa kujua Bus Luxury safi ya Dar - Musoma iliyotulia na pia ni mzuri nikijua nauli zake na muda wa kufika Musoma kwani nasikia zingine lazima ulale njiani Shinyanga au Mwanza?
jm luxury..
sidhani mkuu..nilisafiri nao mwaka jana walikua fresh tu.Asante....lakini kuna mtu kaniambia kuwa JM Luxury hawana ustaarabu kabisa na ni wakorofi wakifikiri abiria wote ni wakurya..je ni kweli?
sidhani mkuu..nilisafiri nao mwaka jana walikua fresh tu.
Ndege hupendi? Tungekukatia.Habari
Guys kwa mtu yeyote anaejua magari mazuri ya kusafiria safari za mkoani especially mbeya aniambie Luxury Bus
kama kuna sehem za kuchaji ikiwezekana ..kwa anaejua au amesikia ni bus zuri aseme.
Thanks in advance.
NB:If you have negative minded don't reply.
Mbeya Coachkutuuliza hilo swali yamanaanisha sisi tuafanya kazi stnd ???