Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Waislamu kuna nchi ukitoka dini yao wanakuua.Nimejipenyeza sana mda mrefu kutafiti tafiti ila nimegundua hii imani inataka kumaliza dunia.
Ukiangalia tokea historia na mafundisho yao yamejaa chuki,kuangamiza na kuforce wanayotaka.
Sio kwamba wote ni wabaya au kuna watu wanapenda kwenye imani yao ila ukigundulika unaonekana kama muhasi.
Kuna nchi ambazo sasa zishaanza kuona red light za hii imani na msije shangaa kuona watu wakaanza kuzikashifu hizo nchi kwa kisingizio wanazo juwa kwa kufundishana.
Uliyefanya tafiti umeshindwa kutoa tafiti zako,embu tupe zakoHujafanya tafiti hata moja,ila unasikiliza documentary za uwongo.
Ushawahi kuishi nchi yoyote ya kiislam na inayoongozwa kwa sheria za dini (Qur'an)?, au tafiti zako umefanyia kanisani?
Hatari sana mkuu.Sasa wewe kama Kaka yake Shetani utawezaje kuona mazuri ya dini ya hakhi?
Jibu la kibabe sana hili, akikujibu tafadhali nishtue mkuu.Uliyefanya tafiti umeshindwa kutoa tafiti zako,embu tupe zako
Makafiri kila siku mnakuja na nyuzi za kuuponda Uislamu wakati Uislamu hauna shida yoyote na dini yenu.Nimejipenyeza sana mda mrefu kutafiti tafiti ila nimegundua hii imani inataka kumaliza dunia.
Ukiangalia tokea historia na mafundisho yao yamejaa chuki,kuangamiza na kuforce wanayotaka.
Sio kwamba wote ni wabaya au kuna watu wanapenda kwenye imani yao ila ukigundulika unaonekana kama muhasi.
Kuna nchi ambazo sasa zishaanza kuona red light za hii imani na msije shangaa kuona watu wakaanza kuzikashifu hizo nchi kwa kisingizio wanazo juwa kwa kufundishana.
We ni malaika na huko unapoamini ni kwako.Makafiri kila siku mnakuja na nyuzi za kuuponda Uislamu wakati Uislamu hauna shida yoyote na dini yenu.
Wakati Mtume Muhammad ananyanyaswa Makka na Maqureysh aliwaambia wafuasi wake waende Habash au Ethiopia ambako kulikua na Mfalme mkristo waende wakatafute hifadhi na kweli walipata hifadhi .
Halafu mnasema uislamu ni dini ya fujo wakati aya nyingi ni za kuhimiza mambo mema na sisi kama waislamu tumefundishwa tu self defense hatukuambiwa tuwauwe au tuwatese wasio waislamu.
Lakini pia kuna aya nyingi zinazohimiza kuwafanyia mema wazee wetu waliotuzaa, kuwalea mayatima, kuwasaidia masikini, kutoa zaka, mpaka wanyama wamepewa haki katika Uislamu lakini haya hamuyaoni.
Uislamu pia umetoa haki kwa wanawake miaka zaidi ya elfu moja iliopita, wakati ulaya mpaka mwaka 1900 hakukua na haki yoyote kwa mwanamke.
Wito wangu acheni kusikiliza propaganda za mayahudi na makfiri wa magharibi ambao lengo lao kuu ni kuendelea kutawala dunia na adui yao mkubwa ni Uislamu katika kutimiza lengo hili. Kumbukeni madhila ya ukoloni yaliletwa na wakristo, kule Congo watu walikatwa mpaka mikono na wakoloni wa kikristo ambao walitumia biblia kuwahadaa waafrika
Nikijaza uwezi soma .Umeishia madrasaLete hizo tafiti zako kijana usiropoke tu
Silazimishwi kuwa gaidiAchana na uislamu
Wewe fata imani yako,kwani umelazimishwa kuwa muislam.
Somalia hapo, ukitaka Uislamuna anayekuua ni Baba Yako Mzazi anakuchinja na panga tena sokoni ili na washenzi wengine wakoma.Waislamu kuna nchi ukitoka dini yao wanakuua.