Ni basi tu kuna serikali ila uislamu unatamani kumaliza dunia nzima

Ni basi tu kuna serikali ila uislamu unatamani kumaliza dunia nzima

Hawa wate walijaribu kuufuta uislam, wakihisi ni tatizo kwao
Wakianzia na baba yake mdogo Muhammad,( Abu Lahab) hapo waislam wakati huo hawafiki 6 (sita) duniani
Hapo kuna wafalme, maPapa, majememdari wa vita, marais na wazir wakuu wababe waliowahi kutokea duniani
Sasa nyie wengine mtaweza kwa vinyizi vyenu JF na sasa kuna waislam robo ya watu wote duniani?

1. Abu Jahl
2. Abu Lahab
3. Musaylima
4. Heraclius
5. Constantine IV
6. Leo III the Isaurian
7. Nikephoros I
8. Yazdegerd III
9. Rostam Farrokhzad
10. Urban II
11. Godfrey of Bouillon
12. Baldwin I of Jerusalem
13. Richard the Lionheart
14. Philip II Augustus
15. Louis IX of France
16. Frederick Barbarossa
17. Edward I of England
18. Charles Martel
19. Pepin the Short
20. Charlemagne
21. El Cid
22. Alfonso VI of León
23. Alfonso VIII of Castile
24. Ferdinand III of Castile
25. Ferdinand II of Aragon
26. Isabella I of Castile
27. Cisneros
28. Hulagu Khan
29. Genghis Khan
30. Kitbuqa
31. Tamerlane
32. Vlad III the Impaler
33. George Castriota Skanderbeg
34. John Hunyadi
35. John III Sobieski
36. Don John of Austria
37. Eugene of Savoy
38. Charles V
39. Philip II of Spain
40. Napoleon Bonaparte
41. Horatio Nelson
42. Lord Cromer
43. Lord Kitchener
44. Edmund Allenby
45. Winston Churchill
46. Charles de Gaulle
47. Leonid Brezhnev
48. George W. Bush
49. Donald Rumsfeld
50. Bohemond I of Antioch
51. ⁠Benjamin Milekowsky
 
Lete hizo tafiti zako kijana usiropoke tu
Kusoma hujui, hata picha huoni?
Zanzibar kujenga kanisa huruhusiwi, ila bara hata sehemu yenye wakristo tupu unaruhusiwa
Zanzibar ukila hadharani kipindi cha Ramadan unakamatwa, lakini hakuna dini nyingine yoyote inayolzimisha mtu kufunga iwe kwaresma au mfungo mwingine
Huko Pakistan ukiachana na dini ya Kiislam ni adhabu ya kifo
 
Q
Nimejipenyeza sana mda mrefu kutafiti tafiti ila nimegundua hii imani inataka kumaliza dunia.

Ukiangalia tokea historia na mafundisho yao yamejaa chuki,kuangamiza na kuforce wanayotaka.

Sio kwamba wote ni wabaya au kuna watu wanapenda kwenye imani yao ila ukigundulika unaonekana kama muhasi.

Kuna nchi ambazo sasa zishaanza kuona red light za hii imani na msije shangaa kuona watu wakaanza kuzikashifu hizo nchi kwa kisingizio wanazo juwa kwa kufundishana.
Ajabu hata Waafrika wanabaguliwa na waarabu ila ndio waafrika walio tayari kufanya jihad kwa ajili yao. Makatili sana
 
Tatizo kubwa la Uislamu haukupitia mageuzi (reformation) kama Ukristo na pia ni performative religion sana.
Labda bara Arab kulikuwa hakuna thinkers walikuwa wanaweza kui challenge dini kama lilivyokuwa Ulaya?
 
H
Hawa wate walijaribu kuufuta uislam, wakihisi ni tatizo kwao
Wakianzia na baba yake mdogo Muhammad,( Abu Lahab) hapo waislam wakati huo hawafiki 6 (sita) duniani
Hapo kuna wafalme, maPapa, majememdari wa vita, marais na wazir wakuu wababe waliowahi kutokea duniani
Sasa nyie wengine mtaweza kwa vinyizi vyenu JF na sasa kuna waislam robo ya watu wote duniani?

1. Abu Jahl
2. Abu Lahab
3. Musaylima
4. Heraclius
5. Constantine IV
6. Leo III the Isaurian
7. Nikephoros I
8. Yazdegerd III
9. Rostam Farrokhzad
10. Urban II
11. Godfrey of Bouillon
12. Baldwin I of Jerusalem
13. Richard the Lionheart
14. Philip II Augustus
15. Louis IX of France
16. Frederick Barbarossa
17. Edward I of England
18. Charles Martel
19. Pepin the Short
20. Charlemagne
21. El Cid
22. Alfonso VI of León
23. Alfonso VIII of Castile
24. Ferdinand III of Castile
25. Ferdinand II of Aragon
26. Isabella I of Castile
27. Cisneros
28. Hulagu Khan
29. Genghis Khan
30. Kitbuqa
31. Tamerlane
32. Vlad III the Impaler
33. George Castriota Skanderbeg
34. John Hunyadi
35. John III Sobieski
36. Don John of Austria
37. Eugene of Savoy
38. Charles V
39. Philip II of Spain
40. Napoleon Bonaparte
41. Horatio Nelson
42. Lord Cromer
43. Lord Kitchener
44. Edmund Allenby
45. Winston Churchill
46. Charles de Gaulle
47. Leonid Brezhnev
48. George W. Bush
49. Donald Rumsfeld
50. Bohemond I of Antioch
51. ⁠Benjamin Milekowsky
Ujui historia

Vita dhidi yq waislam kuuteka mji wa Jerusalem haimaanishi ni vita dhidi ya dini. Mfano... Waarabu waislam wa Sudan wanawaua watu weusi wa Sudan kibaguzi.. ulihusishanisha na uislam utadai wanatetea imani.

Kwa ufupi ilhali neema ya Mungu bado ipo ulimwenguni, uislam hautakuja kutawaka dunia mpaka ujio wa Yesu wa mara ya kwanza kufanyaka.
 
Sasa wewe kama Kaka yake Shetani utawezaje kuona mazuri ya dini ya hakhi?

Ukisoma kwa umakini tangu vitabu vya kale, yaani Mungu wa Ibrahim, Musa, Isaya, Ezekiel, mpaka hitimisho la ujio wa Kristo Yesu, halafu ukalinganisha na mafundisho yanayopatikana katika Quran, hutakuwa na mashaka Uislam ni dini ya nani. Na kwenye hilo, shetani amefanikiwa sana, maana amewapata wafuasi wanaomwabudu usiku na mchana, ambalo lilikuwa lengo la Lucifer.
 
kimuktadha vitabu vyote hivyo ulivyovilenga havitofautiani sana
 
Labda bara Arab kulikuwa hakuna thinkers walikuwa wanaweza kui challenge dini kama lilivyokuwa Ulaya?
Ndio, hakukuwa na secular thinkers pamoja na religious scholars wa kutosha Uarabuni kuhoji mambo mengi ya Muhammad kama ilivyokuwa Ulaya. Hata wale wachache waliokuwepo challenge yao kubwa ilikuwa zaidi kwenye nani wa kurithi uongozi wa Uislamu baada mtume ndio ikapelekea kuzaliwa kwa Shia au walikuja kwa kuchelewa sana na uchache kama Ahmadiyya na Bahai kipindi ambacho radicals na Uislamu wa Karne ya saba ulikuwa tayari umeshajikita mizizi.

Lakini pia Uislamu ulikuja Karne ya 7 wakati ambapo Ukristo ulikuwa unapanuka, kuweka mizizi Mashariki ya kati na Ulaya pamoja na migogoro mbalimbali ya kidini kwa hiyo ilikuwa rahisi kuwaunganisha Waarabu chini ya dini moja kukabiliana na adui mmoja "common enemy" aliyekuwa anasambaza mila na tamaduni tofauti kabisa na za Waarabu kama vile kuoa mke mmoja, kusema Israel ni taifa teule, kusema Mapapa ambao walikuwa wazungu ndio wawakilishi wa Mungu duniani n.k
 
kule Congo watu walikatwa mpaka mikono na wakoloni wa kikristo ambao walitumia biblia kuwahadaa waafrika
Mbona hausemi waarab walichowafanyia wazee wetu? Kuwacastrate na kuwauza kama nyanya kwa miaka zaidi ya 1,000 ndiyo unaona waliwatendea wema?
Kwanza Mtume amesema ukitaka kujua shetani alivyo umwangalie mtu mweusi. Hata mtu mweusi anaonekana kama duni sana kiasi cha kutolewa mfano kuwa eti naye inabidi kumtii!
Nashangaa hata guts za mtu mweusi kuwa mwislam wanazitoa wapi?

Sahih al-Bukhari 7142
Narrated Anas bin Malik:
Allah's Messenger (ﷺ) said, "You should listen to and obey, your ruler even if he was an Ethiopian (black) slave whose head looks like a raisin."

Ibn Ishaq, p. 243:
'Whoever wants to see Satan, let him look at Nabal b. al-Harith!' He was a sturdy black man with long flowing hair, inflamed eyes, and dark ruddy cheeks

The Quran says that people who will go to heaven will turn white and that people who will go to hell will turn black (Surah 3:106 - Surah 3:107). On the Day [some] faces will turn white and [some] faces will turn black. As for those whose faces turn black, [to them it will be said], "Did you disbelieve [i.e., reject faith] after your belief? Then taste the punishment for what you used to reject.

Muhammad owned black slaves and valued them less than white/ Arab slaves. Sunan an-Nasa'i, The Book of Financial Transactions, 4625: A slave came and gave his pledge to the Messenger of Allah to emigrate, and the Prophet did not realize that he was a slave. Then his master came looking for him. The Prophet said: 'Sell him to me.' So he bought him for two black slaves, then he did not accept the pledge of anyone after that until he asked: 'Is he a slave?'

Muhammad interpreted the appearance of a black woman with unkempt hair as a sign of a plague. Sahih al-Bukhari 7039: Salim bin Abdullah narrated from his father about the dream of the Prophet who said: "I saw a black woman with unkempt hair going out of Al-Madinah, until she stood in Mahya'ah, and it is Al-Juhfah. So I interpreted that to be an epidemic in Al-Madinah that would spread to Al-Juhfah."

Unawezaje kuamini dini inayotenga muda mwingi hivi kumdunisha mtu mweusi? How mi haiingii akilini
 
Kupitia uislam, shetani amefanikiwa sana.

Shetani Lucifer alipomuasi Mungu, lengo lake lilikuwa na yeye awe sawa na Mungu, yaani alitaka na yeye awe na watu watakaomwabudu usiku na mchana, alitaka na yeye ajengewe nyumba za kumwabudu.

Ukisoma vitabu vyote tangu nyakati za Ibrahim, Musa, na manabii wengine kama Isaya, Ezekiel, na hitimisho la mwisho ni Kristo Yesu mwenyewe, ukalinganisha na mafundisho ya baadhi ya waislam, unapata picha ya wazi, uislam ni dini ya nani. Na hakika ni kinyume cha mafundisho ya Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Musa, Mungu wa Isaya, Mungu wa Yakobo. Ni kinyume kabisa na Mungu aliyefunuliwa kwa mwanadamu na Kristo Yesu, nafsi ya Mungu iliyojifanya mwanadamu. Kwa kuwa mwanadamu amepewa uhuru na Mungu, ama kumtumikia yeye Mungu wa kweli, au Miungu ya shetani, wewe uliyefunuliwa kumjua Mungu wa kweli, umshukuru Mungu. Maana hata kumjua Mungu wa kweli, unahitaji neema ya Mungu, ndiyo maana Yesu alipomwuliza Petro kuwa Yeye Yesu ni nani, Petro akasema ni Kristo Mwana pekee wa Mungu wa kweli aliye hai, Yesu alimwambia kuwa wala siyo kwa akili yake ameyajua hayo, bali ni Baba yake wa Mbinguni aliyemfunulia.
Hivyo tujue kuwa naye aliyepotea na kuangukia kwa shetani, hatujui, kuna siku anaweza kupokea nuru ya kweli ('Mimi ndiye Nuru ya Ulimwengu"), ni si ajabu tukawa naye au hata akatutangulia. Kuna waislam ambao wana hamu na wangependa sana kumwabudu Mungu wa kweli lakini kwa bahati mbaya wamepewa mafundisho ya uwongo, na hao ndiyo wale ambao wakiipokea nuru, wanakuwa Wakristo washika dini kwa kiwango cha juu kabisa.

Leo hii, kuna mataifa kama Iran, ni marufuku mtu kubadili dini kutoka uislam, lakini ndiyo nchi inayoongoza kwa waislam kubadilika na kuwa Wakristo, tena wanakuwa wakristo washika dini hasa, ambao wapo tayari hata kufa kwaajili ya imani waliyoipokea.

Lakini pia tujue kuwa hekima ya Mungu siyo ya mwanadamu. Yeye ndiye anajua kwa nini ameruhusu haya yatokee.

Wapo waislam japo hawamkubali Yesu kuwa ndiye Kristo nafsi ya Mungu aliye hai, lakini matendo yao yanaendana na maagizo ya Kristo, na hawa yawezekana wakawatangulia wakristo wa majina, ambao matendo yao ni kinyume cha maagizo ya Kristo.

Waislam walio na shida ni hao waarabu, na makundi yaliyopandikizwa na Waarabu kwenye mataifa ya Afrika. Lakini waislam wa Afrika, kwa idadi kubwa hawafuati kwa vitendo yale maagizo ya shetani ya kuwataka waislam wawaue wasioukubali uislam. Uislam mbaya kabisa upo hapo Mashariki ya kati.

According to research organizations like Operation World, Iran is widely reported to have the world's fastest-growing evangelical Christian movement, with significant numbers of Muslim-background citizens converting to Christianity.
 
Makafiri kila siku mnakuja na nyuzi za kuuponda Uislamu wakati Uislamu hauna shida yoyote na dini yenu.

Wakati Mtume Muhammad ananyanyaswa Makka na Maqureysh aliwaambia wafuasi wake waende Habash au Ethiopia ambako kulikua na Mfalme mkristo waende wakatafute hifadhi na kweli walipata hifadhi .

Halafu mnasema uislamu ni dini ya fujo wakati aya nyingi ni za kuhimiza mambo mema na sisi kama waislamu tumefundishwa tu self defense hatukuambiwa tuwauwe au tuwatese wasio waislamu.

Lakini pia kuna aya nyingi zinazohimiza kuwafanyia mema wazee wetu waliotuzaa, kuwalea mayatima, kuwasaidia masikini, kutoa zaka, mpaka wanyama wamepewa haki katika Uislamu lakini haya hamuyaoni.

Uislamu pia umetoa haki kwa wanawake miaka zaidi ya elfu moja iliopita, wakati ulaya mpaka mwaka 1900 hakukua na haki yoyote kwa mwanamke.

Wito wangu acheni kusikiliza propaganda za mayahudi na makfiri wa magharibi ambao lengo lao kuu ni kuendelea kutawala dunia na adui yao mkubwa ni Uislamu katika kutimiza lengo hili. Kumbukeni madhila ya ukoloni yaliletwa na wakristo, kule Congo watu walikatwa mpaka mikono na wakoloni wa kikristo ambao walitumia biblia kuwahadaa waafrika
Kinachoendelea Ufaransa na Ulaya kinafikirisha sana.Jamaa.muda wote wanaandamana inaonekana hata kazi hawafanyi!
 
Kusoma hujui, hata picha huoni?
Zanzibar kujenga kanisa huruhusiwi, ila bara hata sehemu yenye wakristo tupu unaruhusiwa
Zanzibar ukila hadharani kipindi cha Ramadan unakamatwa, lakini hakuna dini nyingine yoyote inayolzimisha mtu kufunga iwe kwaresma au mfungo mwingine
Huko Pakistan ukiachana na dini ya Kiislam ni adhabu ya kifo
Mda mwingine ujinga sio sifa ata tukae nao mimi naishi Zanzibar unajua kuna makanisa mangapi huku?
Hlf kula Mchana wa Ramadhani ni mila zetu tumejiwekea kama huwezi TZ ni kubwa sanaaa kwanini ulazimishe kuishi Zanzibar
 
Sisi tukienda peponi tutapewa wanawake mabikira na wenye macho kama vikombe, hayo mengine utajijua mwenyewe
 
Ndio, hakukuwa na secular thinkers pamoja na religious scholars wa kutosha Uarabuni kuhoji mambo mengi ya Muhammad kama ilivyokuwa Ulaya. Hata wale wachache waliokuwepo challenge yao kubwa ilikuwa zaidi kwenye nani wa kurithi uongozi wa Uislamu baada mtume ndio ikapelekea kuzaliwa kwa Shia au walikuja kwa kuchelewa sana na uchache kama Ahmadiyya na Bahai kipindi ambacho radicals na Uislamu wa Karne ya saba ulikuwa tayari umeshajikita mizizi.

Lakini pia Uislamu ulikuja Karne ya 7 wakati ambapo Ukristo ulikuwa unapanuka, kuweka mizizi Mashariki ya kati na Ulaya pamoja na migogoro mbalimbali ya kidini kwa hiyo ilikuwa rahisi kuwaunganisha Waarabu chini ya dini moja kukabiliana na adui mmoja "common enemy" aliyekuwa anasambaza mila na tamaduni tofauti kabisa na za Waarabu kama vile kuoa mke mmoja, kusema Israel ni taifa teule, kusema Mapapa ambao walikuwa wazungu ndio wawakilishi wa Mungu duniani n.k
Mambo ya Israel kuwa taifa teule mbona haikuwepo kipindi hicho cha U Islam kuenea? Israel Ilikuwa bado chini ya Dola ya Rumi,
 
Mda mwingine ujinga sio sifa ata tukae nao mimi naishi Zanzibar unajua kuna makanisa mangapi huku?
Hlf kula Mchana wa Ramadhani ni mila zetu tumejiwekea kama huwezi TZ ni kubwa sanaaa kwanini ulazimishe kuishi Zanzibar
Mila gani mmejiwekea? Kufunga Ramadan ni ishu ya kiimani ya kidini, kila mtu ana Imani yake, huwezi kumlazimisha mtu afuate Imani yako.....
 
Mambo ya Israel kuwa taifa teule mbona haikuwepo kipindi hicho cha U Islam kuenea? Israel Ilikuwa bado chini ya Dola ya Rumi,
Wakristo nyakati zote wameamini Israel lilikuwa ni taifa teule la mungu, hata Paulo alikuwa anafundisha mataifa in mzeituni mwitu uliochepuka kutoka kwa mzeituni halisi (Israel) na kwamba walipofushwa tu kukataa Injili ili iwafikie mataifa.
 
Mi sipendi kuongea kwa MANENO:
Sunan an-Nasa'i 4059
Ibn 'Abbas said:
"The Messenger of Allah [SAW] said: 'Whoever changes his religion, kill him."

Ujisikia imani inajitete kutwa kuchwa kama
Dini ya haki
Dini pekee ya Mungu
Dini ya Mitume na manabii wote:
Kuna Islamaphobia

Fikiria mara tatu tatu Shehe
 
Mila gani mmejiwekea? Kufunga Ramadan ni ishu ya kiimani ya kidini, kila mtu ana Imani yake, huwezi kumlazimisha mtu afuate Imani yako.....
Kaa kwenu wanging'ombe mkuu utakula fresh tu ila ukienda kwa watu heshimu taratibu ulozikuta
 
Back
Top Bottom