Kusoma hujui, hata picha huoni?Lete hizo tafiti zako kijana usiropoke tu
Ajabu hata Waafrika wanabaguliwa na waarabu ila ndio waafrika walio tayari kufanya jihad kwa ajili yao. Makatili sanaNimejipenyeza sana mda mrefu kutafiti tafiti ila nimegundua hii imani inataka kumaliza dunia.
Ukiangalia tokea historia na mafundisho yao yamejaa chuki,kuangamiza na kuforce wanayotaka.
Sio kwamba wote ni wabaya au kuna watu wanapenda kwenye imani yao ila ukigundulika unaonekana kama muhasi.
Kuna nchi ambazo sasa zishaanza kuona red light za hii imani na msije shangaa kuona watu wakaanza kuzikashifu hizo nchi kwa kisingizio wanazo juwa kwa kufundishana.
Labda bara Arab kulikuwa hakuna thinkers walikuwa wanaweza kui challenge dini kama lilivyokuwa Ulaya?Tatizo kubwa la Uislamu haukupitia mageuzi (reformation) kama Ukristo na pia ni performative religion sana.
Ujui historiaHawa wate walijaribu kuufuta uislam, wakihisi ni tatizo kwao
Wakianzia na baba yake mdogo Muhammad,( Abu Lahab) hapo waislam wakati huo hawafiki 6 (sita) duniani
Hapo kuna wafalme, maPapa, majememdari wa vita, marais na wazir wakuu wababe waliowahi kutokea duniani
Sasa nyie wengine mtaweza kwa vinyizi vyenu JF na sasa kuna waislam robo ya watu wote duniani?
1. Abu Jahl
2. Abu Lahab
3. Musaylima
4. Heraclius
5. Constantine IV
6. Leo III the Isaurian
7. Nikephoros I
8. Yazdegerd III
9. Rostam Farrokhzad
10. Urban II
11. Godfrey of Bouillon
12. Baldwin I of Jerusalem
13. Richard the Lionheart
14. Philip II Augustus
15. Louis IX of France
16. Frederick Barbarossa
17. Edward I of England
18. Charles Martel
19. Pepin the Short
20. Charlemagne
21. El Cid
22. Alfonso VI of León
23. Alfonso VIII of Castile
24. Ferdinand III of Castile
25. Ferdinand II of Aragon
26. Isabella I of Castile
27. Cisneros
28. Hulagu Khan
29. Genghis Khan
30. Kitbuqa
31. Tamerlane
32. Vlad III the Impaler
33. George Castriota Skanderbeg
34. John Hunyadi
35. John III Sobieski
36. Don John of Austria
37. Eugene of Savoy
38. Charles V
39. Philip II of Spain
40. Napoleon Bonaparte
41. Horatio Nelson
42. Lord Cromer
43. Lord Kitchener
44. Edmund Allenby
45. Winston Churchill
46. Charles de Gaulle
47. Leonid Brezhnev
48. George W. Bush
49. Donald Rumsfeld
50. Bohemond I of Antioch
51. Benjamin Milekowsky
Sasa wewe kama Kaka yake Shetani utawezaje kuona mazuri ya dini ya hakhi?
kimuktadha vitabu vyote hivyo ulivyovilenga havitofautiani sanaUkisoma kwa umakini tangu vitabu vya kale, yaani Mungu wa Ibrahim, Musa, Isaya, Ezekiel, mpaka hitimisho la ujio wa Kristo Yesu, halafu ukalinganisha na mafundisho yanayopatikana katika Quran, hutakuwa na mashaka Uislam ni dini ya nani. Na kwenye hilo, shetani amefanikiwa sana, maana amewapata wafuasi wanaomwabudu usiku na mchana, ambalo lilikuwa lengo la Lucifer.
Ndio, hakukuwa na secular thinkers pamoja na religious scholars wa kutosha Uarabuni kuhoji mambo mengi ya Muhammad kama ilivyokuwa Ulaya. Hata wale wachache waliokuwepo challenge yao kubwa ilikuwa zaidi kwenye nani wa kurithi uongozi wa Uislamu baada mtume ndio ikapelekea kuzaliwa kwa Shia au walikuja kwa kuchelewa sana na uchache kama Ahmadiyya na Bahai kipindi ambacho radicals na Uislamu wa Karne ya saba ulikuwa tayari umeshajikita mizizi.Labda bara Arab kulikuwa hakuna thinkers walikuwa wanaweza kui challenge dini kama lilivyokuwa Ulaya?
Mbona hausemi waarab walichowafanyia wazee wetu? Kuwacastrate na kuwauza kama nyanya kwa miaka zaidi ya 1,000 ndiyo unaona waliwatendea wema?kule Congo watu walikatwa mpaka mikono na wakoloni wa kikristo ambao walitumia biblia kuwahadaa waafrika
Kinachoendelea Ufaransa na Ulaya kinafikirisha sana.Jamaa.muda wote wanaandamana inaonekana hata kazi hawafanyi!Makafiri kila siku mnakuja na nyuzi za kuuponda Uislamu wakati Uislamu hauna shida yoyote na dini yenu.
Wakati Mtume Muhammad ananyanyaswa Makka na Maqureysh aliwaambia wafuasi wake waende Habash au Ethiopia ambako kulikua na Mfalme mkristo waende wakatafute hifadhi na kweli walipata hifadhi .
Halafu mnasema uislamu ni dini ya fujo wakati aya nyingi ni za kuhimiza mambo mema na sisi kama waislamu tumefundishwa tu self defense hatukuambiwa tuwauwe au tuwatese wasio waislamu.
Lakini pia kuna aya nyingi zinazohimiza kuwafanyia mema wazee wetu waliotuzaa, kuwalea mayatima, kuwasaidia masikini, kutoa zaka, mpaka wanyama wamepewa haki katika Uislamu lakini haya hamuyaoni.
Uislamu pia umetoa haki kwa wanawake miaka zaidi ya elfu moja iliopita, wakati ulaya mpaka mwaka 1900 hakukua na haki yoyote kwa mwanamke.
Wito wangu acheni kusikiliza propaganda za mayahudi na makfiri wa magharibi ambao lengo lao kuu ni kuendelea kutawala dunia na adui yao mkubwa ni Uislamu katika kutimiza lengo hili. Kumbukeni madhila ya ukoloni yaliletwa na wakristo, kule Congo watu walikatwa mpaka mikono na wakoloni wa kikristo ambao walitumia biblia kuwahadaa waafrika
Mda mwingine ujinga sio sifa ata tukae nao mimi naishi Zanzibar unajua kuna makanisa mangapi huku?Kusoma hujui, hata picha huoni?
Zanzibar kujenga kanisa huruhusiwi, ila bara hata sehemu yenye wakristo tupu unaruhusiwa
Zanzibar ukila hadharani kipindi cha Ramadan unakamatwa, lakini hakuna dini nyingine yoyote inayolzimisha mtu kufunga iwe kwaresma au mfungo mwingine
Huko Pakistan ukiachana na dini ya Kiislam ni adhabu ya kifo
Mambo ya Israel kuwa taifa teule mbona haikuwepo kipindi hicho cha U Islam kuenea? Israel Ilikuwa bado chini ya Dola ya Rumi,Ndio, hakukuwa na secular thinkers pamoja na religious scholars wa kutosha Uarabuni kuhoji mambo mengi ya Muhammad kama ilivyokuwa Ulaya. Hata wale wachache waliokuwepo challenge yao kubwa ilikuwa zaidi kwenye nani wa kurithi uongozi wa Uislamu baada mtume ndio ikapelekea kuzaliwa kwa Shia au walikuja kwa kuchelewa sana na uchache kama Ahmadiyya na Bahai kipindi ambacho radicals na Uislamu wa Karne ya saba ulikuwa tayari umeshajikita mizizi.
Lakini pia Uislamu ulikuja Karne ya 7 wakati ambapo Ukristo ulikuwa unapanuka, kuweka mizizi Mashariki ya kati na Ulaya pamoja na migogoro mbalimbali ya kidini kwa hiyo ilikuwa rahisi kuwaunganisha Waarabu chini ya dini moja kukabiliana na adui mmoja "common enemy" aliyekuwa anasambaza mila na tamaduni tofauti kabisa na za Waarabu kama vile kuoa mke mmoja, kusema Israel ni taifa teule, kusema Mapapa ambao walikuwa wazungu ndio wawakilishi wa Mungu duniani n.k
Mila gani mmejiwekea? Kufunga Ramadan ni ishu ya kiimani ya kidini, kila mtu ana Imani yake, huwezi kumlazimisha mtu afuate Imani yako.....Mda mwingine ujinga sio sifa ata tukae nao mimi naishi Zanzibar unajua kuna makanisa mangapi huku?
Hlf kula Mchana wa Ramadhani ni mila zetu tumejiwekea kama huwezi TZ ni kubwa sanaaa kwanini ulazimishe kuishi Zanzibar
Wakristo nyakati zote wameamini Israel lilikuwa ni taifa teule la mungu, hata Paulo alikuwa anafundisha mataifa in mzeituni mwitu uliochepuka kutoka kwa mzeituni halisi (Israel) na kwamba walipofushwa tu kukataa Injili ili iwafikie mataifa.Mambo ya Israel kuwa taifa teule mbona haikuwepo kipindi hicho cha U Islam kuenea? Israel Ilikuwa bado chini ya Dola ya Rumi,
Hamna lolote, dini ya haki gani?Sasa wewe kama Kaka yake Shetani utawezaje kuona mazuri ya dini ya hakhi?
Kaa kwenu wanging'ombe mkuu utakula fresh tu ila ukienda kwa watu heshimu taratibu ulozikutaMila gani mmejiwekea? Kufunga Ramadan ni ishu ya kiimani ya kidini, kila mtu ana Imani yake, huwezi kumlazimisha mtu afuate Imani yako.....