Ni benki gani nzuri kwa kufungulia Account?

Ni benki gani nzuri kwa kufungulia Account?

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Je ni benki ipi inayotoa huduma nzuri na yenye Gharama nafuu?

Ushauri..
 
Kaka mwenzetu una hela hadi ya kupeleka benki? Kibubu tu hapa kinatosha hakuna haja ya kuwasumbua wakubwa huko ukichacha unachukua nyundo unakimaliza kimya kimya
 
Tafuta benki kubwa inayoeleweka. Yenye mtaji mkubwa. Sio benki mara unasikia imefungwa ghafla kwa kukosa mtaji. Benki kubwa tz inafahamika
 
Kaka mwenzetu una hela hadi ya kupeleka benki? Kibubu tu hapa kinatosha hakuna haja ya kuwasumbua wakubwa huko ukichacha unachukua nyundo unakimaliza kimya kimya
Mkuu juzi nilinusurika ajali ya moto chupu chupu chumba kiungue, kisa jiko la gesi then kibubu ndani kilikuwa kima mzigo mnene, wa biashara zangu hadi nikaogopa
 
Mimi ni mjasiriamali lakini naona hatari kuhifadhi fedha zangu sehem zisizo salama

Je ni benki ipi inayotoa huduma nzuri na yenye Gharama nafuu?

Ushauri..

DTB
 
NMB ndio safi.kwanza ipo sehemu nyingi na makato yao ya uendeshaji n nafuu. Ila sijajua kwenye swala la mikopo maana wewe ni mfanyabiashara huenda ukawa na interest na mikopo
 
Equity wako poa una fungua acc na kadi una pewa siku iyo iyo co crdb una ambiwa kadi uifate baada ya 10 days
 
Back
Top Bottom