Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa serious..Tpb bank aka postal bank
Mkuu juzi nilinusurika ajali ya moto chupu chupu chumba kiungue, kisa jiko la gesi then kibubu ndani kilikuwa kima mzigo mnene, wa biashara zangu hadi nikaogopaKaka mwenzetu una hela hadi ya kupeleka benki? Kibubu tu hapa kinatosha hakuna haja ya kuwasumbua wakubwa huko ukichacha unachukua nyundo unakimaliza kimya kimya
Mimi ni mjasiriamali lakini naona hatari kuhifadhi fedha zangu sehem zisizo salama
Je ni benki ipi inayotoa huduma nzuri na yenye Gharama nafuu?
Ushauri..
Kati ya Equity na CRDB ipi iko poa zaidi
Si kweli ndugu, hata CRDB inakuchukua kufungua account kwa dakika 5 tu na kadi yako unapatiwa ikiwa visa au mastercardEquity wako poa una fungua acc na kadi una pewa siku iyo iyo co crdb una ambiwa kadi uifate baada ya 10 days
Wewe utakuwa mkulima au mtumishi wa serikali ambae hajatoka nje ya wilaya yake tangu azaliweKuna zaidi ya nmb kwan?