nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Samahani wandugu, ningependa kushauriwa biashara nzuri yenya faida nzuri kidogo hata kama sio kwa haraka maana tuna mipango ya muda mrefu kwa kikundi cha watu nane wenye mtaji wa mil 5.
Najua wajuzi na wazoefu hamkosekani hapa ndani.
Kikundi chetu kipo Dar
Najua wajuzi na wazoefu hamkosekani hapa ndani.
Kikundi chetu kipo Dar