Ni biaashara ipi ya kuanza nayo

Ni biaashara ipi ya kuanza nayo

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
5,915
Reaction score
7,210
Samahani wandugu, ningependa kushauriwa biashara nzuri yenya faida nzuri kidogo hata kama sio kwa haraka maana tuna mipango ya muda mrefu kwa kikundi cha watu nane wenye mtaji wa mil 5.

Najua wajuzi na wazoefu hamkosekani hapa ndani.

Kikundi chetu kipo Dar
 
tufafanulie zaidi mkuu
Fanyeni Biashara Ya Mapembe Ya Ng'ombe
Nimefanya sana, nimepumzika kwa sasa
IMG-20190120-WA0007.jpeg
IMG-20190120-WA0006.jpeg
IMG-20190120-WA0001.jpeg


Sent using Unknown device
 
Back
Top Bottom