AsanteNenda kariakoo bookshop yoyote nunua vitabu vya watoto prmary sec etc uza mashulen...
Nenda mchikichini tafuta uagent wa mwandishi yoyote mzuri wa vitabu nenda mashulen ukauze...
abufadhil ayyub
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo nyingi biashara, mojawapo, biashara ya taarifa(yaan networking business mfono Kuna kampuni BFSUMA, mtaji wa kushiri ili uwe wakala na kuanza kupata bidhaa, zao kwa Bei ya uakala, Ni kuanzia 40,000Tsh,140,000, unakua agente wa hiyo kampuni Kisha Kila bidhaa unayonunua unalipwa kwa bonus point, kulingana na bidhaa yenyewe Ni rahisi, hata Kama huna muda wa kutosha unaeza ukaifanya, contact na Mimi nikuunganishe nao. 0682,192752.Wakuu ni biashara gani ndogo yenye mtaji kuanzia 30k mpaka 100k anayoweza kufanya mwanachuo na ikampa kipato??
Napata shida nawaza nijiingize kwenye shughuli gani nipate kipato??
Sent using Jamii Forums mobile app
We mkorea ππuza sigara
kwani wewe huvuti sigara?We mkorea ππ
Kumbe ni bure maana kuna watu utasikia wakisema wanauza line za uwakala kwa laki 2 au kadhaaActually huwa ni bure sema michakato ndio hufanywa watu watoe pesa.
Unatakiwa kuwa na leseni ya biashara na kitambulisho now.then unajongea vodashop/tigoshop.sema kuwa mjanja kuongea vzur ili upate laini mapema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Navutakwani wewe huvuti sigara?
Kumbe ni bure maana kuna watu utasikia wakisema wanauza line za uwakala kwa laki 2 au kadhaa
Sent using Jamii Forums mobile app