Ni biashara gani anaweza fanya mwanachuo ikampa kipato?

Ni biashara gani anaweza fanya mwanachuo ikampa kipato?

1.Tembeza karanga na ubuyu wa Zanzibar

2.Tembeza na Weka kimeza kidogo cha kuuza flash, earphones, screen protector n.k.

3.Fungua mradi wa kuuza matunda.

4. Nenda kachague viwalo vizuri uanze kuwatembezea.

5. Siku ukipata boom jilipue ununue balo nzima ya beg za mgongoni zile grade A
 
Wakuu ni biashara gani ndogo yenye mtaji kuanzia 30k mpaka 100k anayoweza kufanya mwanachuo na ikampa kipato??
Napata shida nawaza nijiingize kwenye shughuli gani nipate kipato??

Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo nyingi biashara, mojawapo, biashara ya taarifa(yaan networking business mfono Kuna kampuni BFSUMA, mtaji wa kushiri ili uwe wakala na kuanza kupata bidhaa, zao kwa Bei ya uakala, Ni kuanzia 40,000Tsh,140,000, unakua agente wa hiyo kampuni Kisha Kila bidhaa unayonunua unalipwa kwa bonus point, kulingana na bidhaa yenyewe Ni rahisi, hata Kama huna muda wa kutosha unaeza ukaifanya, contact na Mimi nikuunganishe nao. 0682,192752.
 
Kuingiza anti virus kwa wanachuo.
Ungekuwa na 500k ningesema kamata m pesa,tigopesa,uza flash,usb na kama mtaalam wa computer software ni biashara poa sana.yaan kurekesbisha matatzo madogo dogo ya software na windows.boom utalisahau.
Mm nilikweka tangazo tu hostel m pesa na matatzo pc ni block flani room namba kadhaa.mwisho ni kula vichwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Actually huwa ni bure sema michakato ndio hufanywa watu watoe pesa.
Unatakiwa kuwa na leseni ya biashara na kitambulisho now.then unajongea vodashop/tigoshop.sema kuwa mjanja kuongea vzur ili upate laini mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni bure maana kuna watu utasikia wakisema wanauza line za uwakala kwa laki 2 au kadhaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Printer
Software
Ujuzi kiasi wa troubleshooting
Convincing power
Charisma
.
.
.
Hivyo vilifanya maisha ya chuo yawe mteremko
 
Back
Top Bottom