Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 600
- 945
Biashara itakayokufaa kuwa dalali tu wangu utatoboa.Wakuu ni biashala gani Unaweza kumshauli mtu kufungua biashala ndani ya miezi 6 au mwaka kwa mtu mwenye kipato cha laki 3 kwa mwezi? Ambayo biashala hiyo akipambana kuna 95% kutoboa au kuwa na unafuu wa life
Mbona mkoani laki tatu mwezi Tu inadouble?Biashara ya laki 3.Hupo dar au mkoa.
kwa dar labda kutembeza vitu vidogo.
Mkoani we endelea kulima
Sijasema biashala ya laki tatu nimesema kwa mtu anambaye now kipato chake ni laki 3 hivyo kwa mda wa miez 6 au mwaka unaweza kumshauli biashala gani afungue?Biashara ya laki 3.Hupo dar au mkoa.
kwa dar labda kutembeza vitu vidogo.
Mkoani we endelea kulima
Nataka mkuu ila halaliMkuu hutaki kuwa bilionea?
Mawazo yapoNataka mkuu ila halali
Yani unakipato cha laki 3 kwa mwezi na upo JF?Wakuu, ni biashara gani mtu anaweza kuanzisha ndani ya miezi 6 hadi mwaka, akiwa na kipato cha Shilingi laki 3 kwa mwezi, ambayo akijitahidi ina uwezekano wa 95% ya kufanikisha au kuboresha maisha yake?
DhihakaYani unakipato cha laki 3 kwa mwezi na upo JF?
Nani amekuruhusu kuingia huku?
Wewe rudi FB na Insta huku hapakufai.
Biashara inapoanzishwa inafocus na eneo ulilopo, na aina gani wewe unazoona zinafaa kwa biashara yako(mapendekezo ambayo wewe ushayafikiria tayari)Wakuu, ni biashara gani mtu anaweza kuanzisha ndani ya miezi 6 hadi mwaka, akiwa na kipato cha Shilingi laki 3 kwa mwezi, ambayo akijitahidi ina uwezekano wa 95% ya kufanikisha au kuboresha maisha yake?
Mpe dislike huyoDhihaka
Mawazo kama haya watu wanayachukulia poa lakini wenye siri ni waliothubutu kufanya biashara kama hizikama upo Dar au hata mkoani nunua jiko la kuchoma nyama/mishkaki.
tafuta eneo lenye mzunguko mkubwa wa watu kama vile masokoni, stendi za daladala au hata bar kubwa.
ingia machinjioni nunua nyama.. kilo 5 tu anza kuchoma mishikaki na ndizi mbivu
baada ya muda mfupi tu utatoboa
Hapa sio mahala pake.Dhihaka
ChaiMawazo kama haya watu wanayachukulia poa lakini wenye siri ni waliothubutu kufanya biashara kama hizi
Nitakupa story kidogo,
Mwaka 2012 kuna jamaa aliniomba Tsh.40,000/= afanye kama mtaji na mambo yakiwa mazuri atanirudishia pesa yangu.
Kwasababu alikuwa ameacha mke na watoto kijijini (alikuja Dsm kwa matibabu yake) nikasema ngoja niondoe lawama tu nikampa bila kumuuliza biashara aliyotaka kufanya na sikuweka matumaini ya kurudisha ile pesa (ila sikumwambia; nilitaka abaki kwenye plan yake)
Baada ya kumpa kile kiasi, aliwatembelea fundi seremala akawa anaokota mbazo zisizo tumika akatengeneza meza ya kishikaji akaweka chini ya mwarobaini pembezoni na barabara, halafu akazama buguruni akanunua machungwa tu; sinia, kisu, ndoo ndogo na maji alichukua nyumbani
Baada ya wiki kama mbili wateja wakawa wameshamzoea, akaongeza mzigo wa matunda biashara ikachanganya na wiki ya tatu akaniletea pesa yangu
Baada ya muda ukaingia mwezi wa ramadhani, akaongeza viazi na mihogo, baadae akaanza kununua viatu vya mitumba pale Ilala Boma na kuvisafirisha kwenda kijijini hasa msimu wa mwisho wa mwaka akiwalenga wanafunzi na sikukuu za mwisho wa mwaka. Kiatu anakinunua Tsh.elfu moja, elfu moja na miatano kikifika kule kijijini kinauzwa hadi elfu ishirini!
Kumbuka chanzo ni Tsh.40,000/= Wala sio laki 3
Kumbuka.