Richard Kasubi
Member
- Sep 16, 2018
- 64
- 53
Mwingine ana mtaji wa milioni tano afanye biashara ganiHabari zenu wana Jamii Forum, natumaini mnaendelea vizurii.
Lengo la Uzi huu, ni kupata mawazo tofauti tofauti kuhusiana na kuanzisha Biashara.
Nina Kiasi Cha Shilingi Laki Tano, Je.! Ni Biashara gani ninayoweza kuanzisha kwa Mtaji huo..?
Naomba kuwasilisha
Azia hapa: Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?Nina Kiasi Cha Shilingi Laki Tano, Je.! Ni Biashara gani ninayoweza kuanzisha kwa Mtaji huo..?
Soma:Mwingine ana mtaji wa milioni tano afanye biashara gani
Shukrani.
Acha maneno mengi yasio na maanaHabari zenu wana Jamii Forum, natumaini mnaendelea vizurii.
Lengo la Uzi huu, ni kupata mawazo tofauti tofauti kuhusiana na kuanzisha Biashara.
Nina Kiasi Cha Shilingi Laki Tano, Je.! Ni Biashara gani ninayoweza kuanzisha kwa Mtaji huo..?
Naomba kuwasilisha
Kununua viatu na kutembezaHabari zenu wana Jamii Forum, natumaini mnaendelea vizurii.
Lengo la Uzi huu, ni kupata mawazo tofauti tofauti kuhusiana na kuanzisha Biashara.
Nina Kiasi Cha Shilingi Laki Tano, Je.! Ni Biashara gani ninayoweza kuanzisha kwa Mtaji huo..?
Naomba kuwasilisha
Toa taarifa muhimu kamaHabari zenu wana Jamii Forum, natumaini mnaendelea vizurii.
Lengo la Uzi huu, ni kupata mawazo tofauti tofauti kuhusiana na kuanzisha Biashara.
Nina Kiasi Cha Shilingi Laki Tano, Je.! Ni Biashara gani ninayoweza kuanzisha kwa Mtaji huo..?
Naomba kuwasilisha
Kabisa Mkuu, Unlike Mtajii na Mambo mengineUnlike entrepreneurship, Business is location