Richard Kasubi
Member
- Sep 16, 2018
- 64
- 53
Habari zenu wana Jamii Forum, natumaini mnaendelea vizurii.
Lengo la Uzi huu, ni kupata mawazo tofauti tofauti kuhusiana na kuanzisha Biashara.
Nina Kiasi Cha Shilingi Laki Tano, Je.! Ni Biashara gani ninayoweza kuanzisha kwa Mtaji huo..?
Naomba kuwasilisha