Ni biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa laki tano?

Joined
Sep 16, 2018
Posts
64
Reaction score
53
Habari zenu wana Jamii Forum, natumaini mnaendelea vizurii.

Lengo la Uzi huu, ni kupata mawazo tofauti tofauti kuhusiana na kuanzisha Biashara.

Nina Kiasi Cha Shilingi Laki Tano, Je.! Ni Biashara gani ninayoweza kuanzisha kwa Mtaji huo..?

Naomba kuwasilisha
 
Mwingine ana mtaji wa milioni tano afanye biashara gani
 
Habari zenu wana Jamii Forum, natumaini mnaendelea vizurii.

Lengo la Uzi huu, ni kupata mawazo tofauti tofauti kuhusiana na kuanzisha Biashara.

Nina Kiasi Cha Shilingi Laki Tano, Je.! Ni Biashara gani ninayoweza kuanzisha kwa Mtaji huo..?

Naomba kuwasilisha
Acha maneno mengi yasio na maana

Sema
Location
Familia
Je ni jobless au mfanyakazi
Upate mwelekeo
 
Habari zenu wana Jamii Forum, natumaini mnaendelea vizurii.

Lengo la Uzi huu, ni kupata mawazo tofauti tofauti kuhusiana na kuanzisha Biashara.

Nina Kiasi Cha Shilingi Laki Tano, Je.! Ni Biashara gani ninayoweza kuanzisha kwa Mtaji huo..?

Naomba kuwasilisha
Kununua viatu na kutembeza
 
Habari zenu wana Jamii Forum, natumaini mnaendelea vizurii.

Lengo la Uzi huu, ni kupata mawazo tofauti tofauti kuhusiana na kuanzisha Biashara.

Nina Kiasi Cha Shilingi Laki Tano, Je.! Ni Biashara gani ninayoweza kuanzisha kwa Mtaji huo..?

Naomba kuwasilisha
Toa taarifa muhimu kama
1. Location
2. Interest yako
3. Job status yako
4. Type ya bihashara unayotaka kufanya kama iwe mobile au immobile
Ushauri utapa....
 
Back
Top Bottom