Mh! Huyo yuko sirius kweli kweli. Kitu inavutia hata kwa macho. Pesa zipo ni ubunifu na bidii ndio vinatuponza. Ahsnte kwa kushare nasi hii kitu.Apo mwenge kuna jamaa anauza uji elfu 3 kwa elfu 5 na anapiga pesa kwa makadirio tu jamaa anakunja ata 100k kwa siku kama faida sio mauzo nimeweka apa product yake uone ilivyo uji wa mchele uo na anaulezi pamoja na uji wa mahindi na muhogo unaitwa sterkView attachment 1269273
Hapo kwenye kijana ndo kufeli kwako kunapoanzia utafanikiwa tu ukiendesha mwenyeweAisee umenishawishi hii biashara nilifikilia kuifanya Sema sijapata kijana muaminifu
Mkuu mimi mke sitawezaHapo kwenye kijana ndo kufeli kwako kunapoanzia utafanikiwa tu ukiendesha mwenyewe
Biashara haichagui labda kama mmeo hapendi lakini biashara ya Pikipiki akiendesha mwanamke utawakimbia WatejaMkuu mimi mke sitaweza
Tatizo watu wanakubaliana bila kusainishiana mkataba. Andika mkataba wenye kipengele cha: ikitokea boda imeibiwa yeye atawajibika kuilipa na kama akiwa ameibiwa kweli(kuporwa) aruhusu uchunguzi wa polisi na ikibainika kweli afidie nusu ama robo ya gharama ya boda iliyoibwa. Mikataba mambo yote akikuruka unakuwa nao mkataba wa kwenda kumshughulikia kisheria.
Siwezi kwa kweli nitafute kidume anifanyie hii biashara.Biashara haichagui labda kama mmeo hapendi lakini biashara ya Pikipiki akiendesha mwanamke utawakimbia Wateja
Hii imekaa poa aseeHandeni kuna kuku wengi sana nenda kijiji kinaitwa Kwediboma siku ya mnada jmosi kuku wanauza tsh 4000 - 5000 kuku huyo hapa mjini wamauzwa 10,000 kwa jumla na rejareja 13,000-15,000 tenga moja kusafirisha halizidi tsh 10,000.
Ukiwa na 300,000 maana yake utapata kuku karibi 60. Kila kuku ukipata faida ya 3000-4000
Utapata kipato cha 150,000- 240,000
Mremboo [emoji8]Siwezi kwa kweli nitafute kidume anifanyie hii biashara.
MkuuMremboo [emoji8]
Pande za wapi iyo?Mkuu
Pande za jfPande za wapi iyo?
Mkoa bhnPande za jf
Tafuta kuku wa kisasa kwe bei ya 5000-5500 .anza kuuza kuku wa kukaanga kwanzia robo kuendelea kwa siku ukianza hata na idadi ya kuku tano mpaka kumi ..utaweza fanikiwa .zaidi .. hapo utaweza pia uza shingo,miguu n.k.. utapata mpaka 10000 kwa kila kuku ..
Hii kitu na mm Nataka kuifungu nimeshawishikaOfcourse not, channel yako ikikua na kufikia vigezo unajiunga na adsense, kisha unapata vijisenti, 7000 hiyo kwa siku hukosi kabisa, ila upiga kazi hasa na kizalisha vipindi vizuri vyenye kuvutia watazamaji wengi, ili matangazo ya biashara yakiwekwa kwenye video zako yaonwe na watu wengi.
Vip ushafunguaMkuu naomba nielekeze procedures za kufungua hii kitu!hivi huwa inagharama kuanzisha?na malipo yake wanalipaje yaani kuanzia viewers wangapi ndio wanakulipa pesa?
Nipe nondo basi ndugu ..Sio simple as yah think
Biashara ya Samaki wabichi kuna jamaa mmoja anakutumia Dar ndoo ya Lts 20 kwa 170,000/= (Transport included) ndoo ndogo Lts 10 140,000/= wakiwa wakubwa ndoo kubwa pics 25 saizi ya kati 35
Siwezi kwa kweli nitafute kidume anifanyie hii biashara.