Ni Biashara ipi ya Kariakoo ina faida kubwa kwa mfanyabiashara mwenye mtaji mdogo

Scolari

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2017
Posts
1,721
Reaction score
2,383
Ni Biashara ipi inayopatikana kariakoo ina faida kubwa kwa mfanyabiashara mdogo mwenye mtaji mdogo?

Mtaji wa laki moja hadi laki tano.

Na ieleweke sio lazima biashara ya kuuza iwe kariakoo yawezekana kufanyika kariakoo au kwingine ila biashara ya manunuzi ndio lazima iwe kariakoo
 
100000 - 500000
viatu vya kike vya kichina,(simple shoes na slipers)
vyombo ya plastik vile vya kwenda kumwaga kuuza jero
vifaa ya cm earphone na macover
vitu vya madukan mfano mifuko super glue, viwembe, miswaki, dawa za mbu unaweza tafuta site ukamwaga.
ukipiga mara kadhaa ukazoeleka unaweza mpata boss akakupa sel ukauze na utapata kwa bei sawa na bure
kuna saa za mikononi pia unanunua moja 500 unaenda uza 1000 kwa mtaji huo anzia huko.
 
Jinsi faida inavyozidi kuwa kubwa ndio jinsi marketing kubwa inahitajika, na mpaka unakuja kuuliza hili swali pengine huna hio skillset.

Kuna watu wengi kariakoo Hata mitaji hawana na wanalaza mpaka laki kwa siku.

Wewe una uzoefu na biashara gani?
 
Una moyo mzur hongera
 
Saa na vifaa vya michezo
Mipira na jezi
Sina uzoefu na Vifaa vya mchezo kama mipira ila jezi na saa ndio faida ni kubwa.

-jezi zina grade kuanzia za chini ya 10,000 hadi 30,000 na kitu na watu Wengi sana hawajui kutambua, rahisi mtu kununua jezi ya 10,000 na kuuza 25,000 ila inahitaji marketing ya maana, watu wengi wanauza jezi na timu ni zile zile.

-Saa pia zina faida, ila kama unataka Faida ya maana consider kuagizishia mzigo wako mwenyewe. Alibaba saa buku mpaka buku mbili tu unapata, ambazo huku unauza bei nzuri
 
Asante
 
Shukrani
 
mkija kuombwa matako mnalia lia sasa unataka biashara ya mtaji mdogo upate faida kubwa dah napata mashaka kama ni mwanaume anauliza hivi
 
Mkuu wanafanya nini hadi wanalaza laki kwa siku?
 
mkija kuombwa matako mnalia lia sasa unataka biashara ya mtaji mdogo upate faida kubwa dah napata mashaka kama ni mwanaume anauliza hivi
Siogopi kupigwa ban ila wewe ni k*m@ kibuyu mkvndv kabisa
Sipendi matusi ila wewe umenijaza hasira ms#nge wewe

Umeletwa nini hapa
Kvma wewe

Nenda kaolewe na ushoga wako
 
Kauze maji kwenye toroli au mifuko ya kutembeza,na kwanini unataka faida kubwa na mtajiwako mdogo bro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…