Ni Biashara ipi ya Kariakoo ina faida kubwa kwa mfanyabiashara mwenye mtaji mdogo

Ni Biashara ipi inayopatikana kariakoo ina faida kubwa kwa mfanyabiashara mdogo mwenye mtaji mdogo?

Mtaji wa laki moja hadi laki tano.

Na ieleweke sio lazima biashara ya kuuza iwe kariakoo yawezekana kufanyika kariakoo au kwingine ila biashara ya manunuzi ndio lazima iwe kariakoo
Njoo nikuuzie simu kwa bei ya jumla nokia 105 ukauze upate ukichukua dukani tsh 22000 pisi moja ukiagiza china na sisi tsh 17000
 
Jinsi faida inavyozidi kuwa kubwa ndio jinsi marketing kubwa inahitajika, na mpaka unakuja kuuliza hili swali pengine huna hio skillset.

Kuna watu wengi kariakoo Hata mitaji hawana na wanalaza mpaka laki kwa siku.

Wewe una uzoefu na biashara gani?
kwa hyo kama hana uzoefu ndo asifanye hyo biashara.. ataanza na atapata uzoefu humo humo ama wewe ulizaliwa na uzoefu...?
 
Ni Biashara ipi inayopatikana kariakoo ina faida kubwa kwa mfanyabiashara mdogo mwenye mtaji mdogo?

Mtaji wa laki moja hadi laki tano.

Na ieleweke sio lazima biashara ya kuuza iwe kariakoo yawezekana kufanyika kariakoo au kwingine ila biashara ya manunuzi ndio lazima iwe kariakoo
Kila biashara inalipa, inategemea utaifanyaje
 
Ni Biashara ipi inayopatikana kariakoo ina faida kubwa kwa mfanyabiashara mdogo mwenye mtaji mdogo?

Mtaji wa laki moja hadi laki tano.

Na ieleweke sio lazima biashara ya kuuza iwe kariakoo yawezekana kufanyika kariakoo au kwingine ila biashara ya manunuzi ndio lazima iwe kariakoo
Kariakoo hamna biashara ndogo, kizimba tu wauziwa milioni zaid ya kumi na hapo bado kodi
 
nimekuambia ukweli mkuu huwezi kuwa mwanaume ukataka biashara yenye mtaji mdogo na faida kubwa hata unga hauko hivyo labda ujigeuze dada zetu wale ndio utatumia kamtaji kako kadogo upate faida kubwa wapo wanaoliwa hadi kwa 10m sasa kambususu kadogo tu faida kubwa ndio unachotaka ww.....

alafu usiogope ban jf sio chakula wala sio maji ukipigwa ban ingia kama guest tu
Japo ulimwelewesha vizuri Tu. Uelewa ni tatizo letu wabongo.
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
nimekuambia ukweli mkuu huwezi kuwa mwanaume ukataka biashara yenye mtaji mdogo na faida kubwa hata unga hauko hivyo labda ujigeuze dada zetu wale ndio utatumia kamtaji kako kadogo upate faida kubwa wapo wanaoliwa hadi kwa 10m sasa kambususu kadogo tu faida kubwa ndio unachotaka ww.....

alafu usiogope ban jf sio chakula wala sio maji ukipigwa ban ingia kama guest tu
SIO KWELI, hata mimi nilikuwa nadhani ukiwa na mtaji mdogo huwez kupata faida kubwa lakin haipo hvyo!

Kuna watu weng nawafaham kwa mtaji usiozid laki 5 wanaingiza hela nying tu kwa siku, fanya utafiti utagundua
 
Back
Top Bottom