Scolari
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 1,721
- 2,383
- Thread starter
- #21
AnazinguaAisee umechafukwa kweli kweli
Yeye anafika na kuanza kunitukana na kunidhihaki
Kama alikua anaona nauliza upuuzi si angeacha? JF ina watu wangapi? Mbona wote hawajaja hapa? Kuna wengine wamesoma na hawajaandika kitu yeye alishindwa nini mpaka anitukane