Ni Biashara ipi ya Kariakoo ina faida kubwa kwa mfanyabiashara mwenye mtaji mdogo

Njoo nikuuzie simu kwa bei ya jumla nokia 105 ukauze upate ukichukua dukani tsh 22000 pisi moja ukiagiza china na sisi tsh 17000
 
kwa hyo kama hana uzoefu ndo asifanye hyo biashara.. ataanza na atapata uzoefu humo humo ama wewe ulizaliwa na uzoefu...?
 
Kila biashara inalipa, inategemea utaifanyaje
 
Kariakoo hamna biashara ndogo, kizimba tu wauziwa milioni zaid ya kumi na hapo bado kodi
 
Japo ulimwelewesha vizuri Tu. Uelewa ni tatizo letu wabongo.
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
SIO KWELI, hata mimi nilikuwa nadhani ukiwa na mtaji mdogo huwez kupata faida kubwa lakin haipo hvyo!

Kuna watu weng nawafaham kwa mtaji usiozid laki 5 wanaingiza hela nying tu kwa siku, fanya utafiti utagundua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…