Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Imenitokea nilishangaa na waliokuwa karibu walishangaa.Duuh..hicho kitu sijawahi kutana nacho...nimeagiza nakupokea biadhaa posta hata Mara 15 inafika ...lakini TRA hawajawahi nitoza Kodi na hata watu naokuwa nao kwenye foleni hawajawahi tozwa..TRA wanafungua na kuona wanakupa unasepa ..ni mzigo mmoja tu nilinunua Dola 65 ndio nililipa Kodi...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mdada wa TRA akasema huu lazima ulipie kodi, nikamwambia sawa nipe control number nilipe.
Akawa msumbufu kunipatia control number, yaani alikuja kunipatia hiyo control number siku ya 2 ndio nikafanya malipo. Kwa kifupi alikuwa msumbufu, kuna mambo mengine sipendi niyaongelee hapa.