Ni bidhaa gani ukiingiza Tanzania kutoka nje hazina kodi?

Ni bidhaa gani ukiingiza Tanzania kutoka nje hazina kodi?

Duuh..hicho kitu sijawahi kutana nacho...nimeagiza nakupokea biadhaa posta hata Mara 15 inafika ...lakini TRA hawajawahi nitoza Kodi na hata watu naokuwa nao kwenye foleni hawajawahi tozwa..TRA wanafungua na kuona wanakupa unasepa ..ni mzigo mmoja tu nilinunua Dola 65 ndio nililipa Kodi...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Imenitokea nilishangaa na waliokuwa karibu walishangaa.

Mdada wa TRA akasema huu lazima ulipie kodi, nikamwambia sawa nipe control number nilipe.

Akawa msumbufu kunipatia control number, yaani alikuja kunipatia hiyo control number siku ya 2 ndio nikafanya malipo. Kwa kifupi alikuwa msumbufu, kuna mambo mengine sipendi niyaongelee hapa.
 
Unaweza ukajisomea na tena post #8
 
Kuna Vat na kuna kodi
Bidhaa nying za kilimo zmeondolewa VAT na sio kodi

VAT sio kla mtu analipa au sio kla bidhaa inalipiwa vat
Ila Tax kla bidhaa inayoingia nchin lazma ilipiwe tax na kla bidhaa unayonunua toka nje ina tax
Okay great
 
Sio kwamba unaingiza with zeto tax, hahaa hazina VAT pekee, ila kodi na tozo zingine ziko pape pale
Sio hazina VAT bali hazina DUTY na badala yake zina VAT, RDL,CPF na hii inakuja kulingana na customs value ya CIF.

Bidhaa za Solar hazina KODI yoyote yaidi ya CPF ambayo ni 0.6% huwa kuna APS inatumika kwa hizi bidhaa.

bidhaa nyingne baadhi hazina ushuru (duty) ila zina VAT peke yake.

nyingne zinakuwa na vyote.
pia ushuru haulipiwi kulingana na Officer wa TRA bali unalipiwa kutokana na HS Code + customs valuation na vitu vyote vipo kwenye system.

mfano unanunua shati nje ya nchi, shati ina DUTY ya 25% na inalipiwa vat na other charges zote
unakuta shati moja umenunua tuseme $3 hapa utalipia ushuru wa shilingi 3,200 mpaka 3,500 kulingana na exchange rate pia. ukinunua chini ya hapo itashuka na ukinunua juu ya hapo itapanda.

mostly kabla hujaagiza kitu unatakiwa kujua Tariff yake na Duty base zake.

home nimeelezea kwa ufupi kidogo kama kuna swali karibu mtu yoyote anaruhusiwa kuuliza tusaidiane mawazo na elimu kidogo.
 
Mkuu.. ntakutafta rasm hapa jukwaan sku mbili tatu zjazo maana nna maswal meng mno kwenye eneo hili
 
Wakuu naomba tujuzane hapa.. kama kuna mtu anajua chochote.

Iwe ni bidhaa za sekta gani ambazo ukiingiza Tanzania kutoka Europe hazina utitiri wa kodi.

Nawasilisha
Bidhaa za kilimo huwa hazina VAT mkuu
 
Bidhaa za kilimo huwa hazina VAT mkuu
Ingekuwa hivyo wote tungekuwa tunalima kwa vifaa vya kisasa na mchele ungekuwa bei chini!!
kwenye kuagiza vitu lazima ujue tofauti ya VAT na DUTY. shida vyote hivi watu wanaita USHURU.
 
foto.jpg

Kila sehemu kodi ipo
 
Back
Top Bottom