makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Ewaa.. Kwa kuwa unafahamu zote, kwako ipi ni nzuri zaidi?Mimi nazifahamu hizo Bima zote na nipo Geita hospitali ambayo ina Gym na physiotherapy service,nna fahamu strengths na weaknesses ya hizo bima