Ni bima ipi ya afya bora kukata? Tupeane uzoefu na ushauri

Ni bima ipi ya afya bora kukata? Tupeane uzoefu na ushauri

Soma picha ya pili mstari wa mwisho
Hizo mkuu sio standard package ni supplementary packages .

Sikatai strategy ni Bima nzuri lakini kwa packages zake nyingi haiwezi izidi NHIF kwa coverage ya service .
Mfano tu NHIF hawana limit ya matumizi kwa siku kwa packages zao zote wao wanayo .
 
Hawana limits lakini wamefuta critical services kwa wanaokata bima binafsi.

Huduma ya Dialysis haipo kwenye kifurushi chochote binafsi cha NHIF. Bei za dawa zimewekwa chini mno hivyo wanaishia kupata low quality generic drugs.

Hata Surfactant ambayo ni lifesaving kwa watoto njiti haijawahi kutolewa na NHIF.

Kwa watumiaji binafsi vifurushi vya NHIF havina benefit ukilinganisha na cost zao, kwa sababu ungetoa out of pocket kwa huduma ndogo ndogo hutofikisha hiyo 2M kwa mwaka ya NHIF
 
Hawana limits lakini wamefuta critical services kwa wanaokata bima binafsi.

Huduma ya Dialysis haipo kwenye kifurushi chochote cha NHIF. Bei za dawa zimewekwa chini mno hivyo wanaishia kupata low quality generic drugs.

Hata Surfactant ambayo ni lifesaving kwa watoto njiti haijawahi kutolewa na NHIF.

Kwa watumiaji binafsi vifurushi vya NHIF havina benefit ukilinganisha na cost zao, kwa sababu ungetoa out of pocket kwa huduma ndogo ndogo hutofikisha hiyo 2M kwa mwaka ya NHIF
Hata strategy wana exclusions nyingi sana ,hivyo kila bima ina mazuri na mapungufu
 
Bima bora kuliko zote ni PESA. Hakuna hospitali yeyote dunia nzima inayoikataa
Ila ukweli ni kwamba Maskini ndio hatuna Bima matajiri wanatumia bima .

Maskini akipata kidogo haoni umuhimu wa bima unashangaa matajiri wanakuka na bima ya NHIF na sio muajiriwa kaitaka na kakatia familia .

Maskini huwa hatu value small money
 
Hajasema service ya Gym unaclaim hospitali.

Hizo ni commercial Gyms zenye mikataba ya kutoa memberships kwa clients wa Strategies, na ni tofauti kabisa na huduma ya Physiotherapy
Nandicho nilichokizungumza lakini walibisha sana, wakiongozwa na mdau Error 404 ambae yeye bima anayotumia haijajumuisha gym, anataka aamini kwamba bima zote ziko hivyo.
 
Strategies wa Huduma ya GYM,

Ni uhakika kabisa hili wala halina ubishi. Suala la wewe unayoitumia na haikupeleki Gym ni wewe tu hujafikia package yenye gym. Natuma picha hapo yenye baadhi Gym facilities zenye mkataba na strategis
Screenshot_20240519-171925.png
 
Strategies wa Huduma ya GYM,

Ni uhakika kabisa hili wala halina ubishi. Suala la wewe unayoitumia na haikupeleki Gym ni wewe tu hujafikia package yenye gym. Natuma picha hapo yenye baadhi Gym facilities zenye mkataba na strategisView attachment 2994087
Kuna wapuuzi wachache wakiongozwa na Error 404 walikua wanasema ni mambo ya vijiweni sio kweli. Pamoja na ndugu yake Nehemia Kilave yeye anasema haipo. Asante mkuu kwa kuleta hii ili wakahadithie ofisini kwao.

😃😃😃
 
Hizo mkuu sio standard package ni supplementary packages .

Sikatai strategy ni Bima nzuri lakini kwa packages zake nyingi haiwezi izidi NHIF kwa coverage ya service .
Mfano tu NHIF hawana limit ya matumizi kwa siku kwa packages zao zote wao wanayo .
But mwanzo ulisema hawatoi kabisa huduma ya gym, mkuu hivi ulishindwa nini kuwapigia japo ujiridhishe. Au unafikir wote humu tunaleta poroja.

Strategies ukiwa nakifurushi premium wanakupa mpaka nurse wakukua attend 30 days kama sijasahau baada ya kutoka hospital. Sema wabongo wengi tunauchumi mbovu hatuwezi afford bima nzuri. Na Bei za Strategy zipo juu.
 
Sintoendelea Tena na hii mada, Kwa sababu ww unaleta theory zakwenye makaratasi Mimi nazungumza uhalisia. Wapigie uwaulize hivi nikifurushi Gani ambacho kinajumuisha huduma ya gym kwenye bima yenu, Kisha wakisema hakipo waulize, mbona baadhi ya wafanyakaz wa DEPOT ZA MAFUTA na MIGODINI wanafanya mazoezi kwa kutumia bima yenu, kwenye baadhi ya GYM za KIGAMOMBONI, Posta na Geita?. Then utuletee mrejesho.

Kua na siku njema.
Usihangaike kujielezea kwa wajuaji wa jf.
 
Nhif wana portal yao ambapo ukiomba authorization moja, ndio hiyo hiyo ndani ya masaa 24 huwezi kupata kibali kingine labda iwe emergence case.

Nssf hawana utaratibu wa system lkn nao taratibu zao zipo hivyo, pia nssf unaruhusiwa kupata matibabu ndani ya hospitali moja tu ambayo utakuwa umechagua mwenyewe na ikitokea unataka kutibiwa sehemu tofauti lazima ukaombe kibali kwao.

Mimi ni mtumiaji wa hizi bima mbili kwa mda mrefu
Mkuu ghalama zake zikoje?
 
Back
Top Bottom