Ni bima ipi ya afya bora kukata? Tupeane uzoefu na ushauri

Mimi nazifahamu hizo Bima zote na nipo Geita hospitali ambayo ina Gym na physiotherapy service,nna fahamu strengths na weaknesses ya hizo bima
Ewaa.. Kwa kuwa unafahamu zote, kwako ipi ni nzuri zaidi?
 
Bima inayoweka mipaka utibiwe wapi na wapi usitibiwe hiyo haikidhi haja ya wakati wowote
 
Hivi huu utopolo wa lazima.lwa skku ukienda utibiw mara moja.mfano unahitaji huduma mbili mfano umeshatibiwa hospital A unahitaji labda dentist ambayo inabid uende hospital B na authorised ni moja inakua vip?
 
Mpango mzima ni Tigo bima mkuu, ...Na weekend hii wanakupa offer kama una appy yao ya Tigopesa ...👇🏻

Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Nimewahi kutumia Assemble wakati ikiitwa AAR, nililazwa Bugando aisee ilikuwa burudani, bima ilikuwa inacover hadi misosi. Ulikuwa ni mwendo wa kuku na sato.
🤣🤣🤣 Unatamani ulazwe tena?
 
Kama unataka mkatia mzazi hasa aged mkatie bima ya NHIF kifurushi cha NAJARI kitampa uwezo wa kupata dawa zote na vipimo muhimu na baadhi ya upasuaji
Hilo jambo ndilo lina disqualify hii Bima
 
Premium ya 40m ni uongo..unless kama una ushahidi basi weka

Nasikia Afya na AfyaPlus nafikiri ni 1m kwa 1.3m respectively kwa mtu mmoja,
Hio 40m ni benefits itakuwa
 
STRATEGIS, inanipeleka mpaka INDIA nikiugua, nauli yakwenda na kurudi juu yao na million Moja na laki Tano kama fedha ya kujikimu unapatiwa. Unatibiwa hospital wanazotibiwa wabunge na wafanya biashara wakubwa.
hii mkuu unalipia shingapi kwa mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…