Ni bima ipi ya afya bora kukata? Tupeane uzoefu na ushauri

Ktk makampuni yote uliyoyataja, je ipo yenye grade ya kupata huduma zote ikiwepo totoafya na akatibiwa bila kuambiwa atoe pesa mfukoni mwake
 
Bima mpya inakuja. Bima vikoba.

Bima hii ya kujiunga watu 200 tu. Mkiweza kujichangisha kwa wiki 2 kwa 300 kwa siku. Au 2000 kwa kila wiki Ndani ya wiki 10 tu mmoja wenu yyt atakaeamwa na kupewa rufaa ya Muhimbili, Akatibiwa bure.

Kwa majaribio itaanzia muhimbili. Wateja wakiongezeka itatanuka hadi hospitali za kanda za rufaa
 
Kuanzia 800K per month. BTW mm yangu nalipiwa na kampuni 40M per year.
Premium ya 40m ni uongo..unless kama una ushahidi basi weka

Nasikia Afya na AfyaPlus nafikiri ni 1m kwa 1.3m respectively kwa mtu mmoja,
Hio 40m ni benefits itakuwa
 
Premium ya 40m ni uongo..unless kama una ushahidi basi weka

Nasikia Afya na AfyaPlus nafikiri ni 1m kwa 1.3m respectively kwa mtu mmoja,
Hio 40m ni benefits itakuwa
Hio nazungumzia makubaliano yao na kampuni nilipo Kwa mtu mmoja au mtu na mkewe pamoja na watoto wanne. Hio ndio gharama kama unagharama zako it's okay.

Mengine endelea kusikia, siku ukijua ukweli utakimbia kama wenzako waliosema gym haipo kwenye packahge yeyote.
 
Bima nzuri kuliko zote hapa Tanganyika ni AAR. Hizo zote ulizotaja hapa ni takataka mkuu.
 
Unajua tofauti kati ya premium na benefits?
Its simple lete payment ya premium ya 50M
 
Tuseme umeshinda wewe
Ss Lete ushahidi wa premium ya 50mil nimekaa pale
Otherwise its lies

Hio 50M ni benefits limit or so kwa mujibu wa karatasi zilizotumwa humu
Hakuna mahala nilipoleta ushahidi humu, lkn pia hakuna mahala karatasi yeyote ilipoonyesha kama mgonjwa kipindi anajiunga na mfuko inatakiwa atume taarifa ya afya yake kwenda strategis kuangalia baadhi ya magonjwa kama anayo au Kuna dalili zozote zaonyesha anaweza PATA magonjwa fulan let's say cancer, ikionyesha nimzima wakila kitu baadae akapata maradhi hayo akiwa ndani ya mfuko wanalazima kuchangia zaid ya nusu ya gharama Kwa yale magonjwa ambayo unayajua hayatibiki.

Kingine silipi hata cent 0.1 kwenye bima yao, bali inalipa kampuni na sikatwi hata cent 0.1 kwenye mshahara kulipia bima.

Otherwise have a safe week.
 
STRATEGIS, inanipeleka mpaka INDIA nikiugua, nauli yakwenda na kurudi juu yao na million Moja na laki Tano kama fedha ya kujikimu unapatiwa. Unatibiwa hospital wanazotibiwa wabunge na wafanya biashara wakubwa.
Bei ya bima yao ikoje?
 
Bei zao unazijua mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…